Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tunaambiwa wamesoma eti 😂😂 oneni mazingira jinsi yalivo
 
ifakara morogoro regional hospital
mama ngina aliwadanganya hvo😂😂😂View attachment 1996751
Nini hii inakaa kambi ya chief. 😂😂😂
Webuye county hospital is even better than hiyo kambi ya chief.

images (37).jpeg
 
1965 kulikua na yahoo, SLP na number ya simu ni tofauti. Kubali hospitali yenu ikona kutu.😂😂😂😂😂
Ndio maana nikakuambia IQ yako bado ipo chini sana.
Neno Wizara ya Afya lilikuwa kinatumika during colonial system.
Sasa hivi tunatumia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

Check kibao sasa. Nioneshe kibao cha Wajir

1635931690984.png
 
Kenya has 47 counties, bongo ikona mkoa 31 pekee na bado tuna hospitali nyingi per square km kuwashinda times tu.
Work on Sh6.2bn Kakamega referral hospital halted
Hapa unataka kusema kitu gani mwanangu!?
China has 22 provinces but Kenya has 47 counties.
Do you know the difference btn County And Region!?
Do you have Districts in your country!?

Low IQ inakusumbua
 
Wadanganyika wamejua kutumia jina low IQ kwa sentensi sasa hatutapumzika huku
All in all wadanganyika kama akina Susan, uchoyoboy, the worst 007, Giza unone etc.. wana very low IQ.
 
Wadanganyika wamejua kutumia jina low IQ kwa sentensi sasa hatutapumzika huku
All in all wadanganyika kama akina Susan, uchoyoboy, the worst 007, Giza unone etc.. wana very low IQ.
Umekuja tena. Mzee wa pumba. Vipi unaifananisha Nairobi na Chinese Cities
🤣🤣🤣
Wajir City Kenya
1635933392088.png
 
Back
Top Bottom