NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,319
- 19,687
Hehehe!! Hukumbuki Magufuli alivyokua anawakandia wanawake weusi na kusifia weupe mbele ya mkewe ambaye yeye mwenyewe ni mweusi, dah yule mama alivumilia kwa kweli.
Naona swali limekushinda. Ngoja tubadili madaSijui mnakwama wapi kutoka hapo, tatizo uzembe.
Duh!! But Kenyans are developedRussia and China are not developed. Read on the threshold for developed country and come back.
Ni kweli kabisa. Lazima kuna mkono wa nje.Hapo kuna mkono wa nje.
Vitu kama hivi vinanifanya nilie kwa machozi. Kumbe kuna watu bado wanaishi maisha haya!!!Magufuli mwenyewe pia mweusi tititi.🤣🤣
Yani huko Bongo mwanaume akishika pesa ni mademu weupe tu atakimbilia. Ndio maana unapata lijitu lieusi kama Harmonize kwa video limezungukwa na mademu weupe na wazungu tu. Yani mijamaa inaabudu weupe balaa. Utumwa tu.
Governor amekosea Ila that's rich coming from people who were celebrating the construction of a new state house for their president. 🚮🚮Mandera governer's Mansion,natamani kuona Kama jengo la hospitali au shule zinafanana na hili 'hekalu huko Mandera.View attachment 1996619
Asanti kwa kufananisha Nairobi na miji ya ChinaThis is the one of cities in China. Called Suzhou. Do you see how stool is Nairobi!?
View attachment 1996583
View attachment 1996581
Do you have any concerete evidence to support that this is not 1955?Do you have any concrete evidence to support that is 1955?otherwise uache umbea
Huo mradi utakuwa unahusiana na nini na faida zake ni zip ?Ubungo inakwenda kuwa Guanzhou of EA soon.
Yeah uko Sawa. Hakuna hoja Kwamba mko vibaya kwenye diplomasia.Wakenya wenyewe walisukuma serikali yetu iingilie kati. Pia kuna story ya Wakenya watatu au wanne waliokwenda kufanya kazi huko Ethiopia kisha wakakamatwa na kufungwa gerezani. Familia ya Wakenya hawa ilileta pressure kwa serikali kwamba iwaokoe. Mwishowe serikali iliongea na serikali ya Ethiopia na wakarudi nyumbani.
Tazama hapa watatu waliwachiliwa baada ya serikali yetu kuingilia kati
Hawa nao ni Wakenya wanne waliokuwa wamefungwa jela South Sudan na serikali yetu iliingilia kati na kuwanusuru
Serikali ya Kenya kwenye diplomasia huwa iko vizuri sana. Najua wengine wenu mtapinga lakini huo ndio ukweli wa Mungu.
Yaani Nairobi ufananishe na miji ya are you stupid or something!?Asanti kwa kufananisha Nairobi na miji ya China
2. Shenyang ChinaAsanti kwa kufananisha Nairobi na miji ya China
JPM alikuwa mjamaa na Capitalist at same time yeye alikuwa jambo jema kwake ni lile lenye faida kwa TzSisi ndiyo furaha yetu, inatakiwa wazidi kuwa hovyo na ikiwezekana lile bwawa lao livunjwe kabisa ili tubaki pekeetu monopoly wa kusambaza umeme East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyema ungetoa tarifa kamiliWadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.
Kufa kufaana[emoji23][emoji23][emoji1787]Sisi ndiyo furaha yetu, inatakiwa wazidi kuwa hovyo na ikiwezekana lile bwawa lao livunjwe kabisa ili tubaki pekeetu monopoly wa kusambaza umeme East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]