Time will tell the truth. Hiyo wizara haijawahi kumuacha waziri mbabaishaji na mzembe salama. Huyu marope junior hana uwezo wala sifa wanazombebesha (he is just an empty bucket) hawezi kutoboa ndani ya hii wizara mpaka 2025 labda bi mkora alazimishe tu na inaweza kum-cost 2025. Hii wizara ni mojawapo ya wizara sensitive sana.Dah.! Kmmk naumia sana moyoni,moyo unaniuma sana yule **** wa kisambaa ni mpigaji tu, anaturudisha kulekule. Alaf kinachoniuma zaidi ile wizara aliondolewa mtu makini sana
Dar imebadilika sn mkuu, ona hapa baada ya kuwatoa wamachinga, angalia picha hizi nimepiga mwenyewe leo maeneo ya kisutu[emoji116][emoji116][emoji116]Nilipoona tuu picha ya kwanza, nikaanza kuwaza hii ni nchi gani? La haula la katwa, nilipoona tuu Aga Khan, nikajua ni ocean road (najua walibadilisha jina)
Dar imebadilika sn mkuu, ona hapa baada ya kuwatoa wamachinga, angalia picha hizi nimepiga mwenyewe leo maeneo ya kisutu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1992285View attachment 1992286View attachment 1992287View attachment 1992288View attachment 1992289View attachment 1992290View attachment 1992293
Namna hiyo...🙌🏿,Hapa mafundi wako speed kinoma 👇View attachment 1992041View attachment 1992045more 👇oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja 👇View attachment 1992068
Nchi ya ovyo Sana [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hata kublocku gari kwa mbele wameshindwa
Wenzetu watasema huu ni utumizi mbaya wa fedha. Eti hiyo jumba lote ya nini? And then wamalizie kwa kusema eti wao wanajenga kulingana na mahitaji, si kujionyesha! 😂 😂 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana Mkuu, umeona Pedestrian na Cyclist lane hiyo picha za chini Mwisho hapo?
Na Hiyo ni lumumba street sio tu kwenye BRT lanes.
Wakulungwa wa kaskazini waliweka paving blocks za rangi nyekundu na Nyeusi katikati ya barabara juzi juzi tulikoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nawaomba tu Wakenya waangalie usafi uliopo Dar yn hapo no filter, kitu uhalisia na hapo mvua ilinyesha but no tope wala vumbi kama la Uganda-Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana Mkuu, umeona Pedestrian na Cyclist lane hiyo picha za chini Mwisho hapo?
Na Hiyo ni lumumba street sio tu kwenye BRT lanes.
Wakulungwa wa kaskazini waliweka paving blocks za rangi nyekundu na Nyeusi katikati ya barabara juzi juzi tulikoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile siku Kenya itapata maktaba kama hii mje tuzungumze [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenzetu watasema huu ni utumizi mbaya wa fedha. Eti hiyo jumba lote ya nini? And then wamalizie kwa kusema eti wao wanajenga kulingana na mahitaji, si kujionyesha! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Noma sana mkuu, foreigners washaujua ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sana mkuu, foreigners washaujua ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni uwanja wa stone age, wakizamani sana.Meanwhile, Gofu La zege la majirani limekula ban [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1992395