Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe na wadanganyika ndio takataka kubwa.
Danganyika hakuna Uhuru wa habari sababu kuna sheria ambayo ilipitishwa na Magufuli pamoja na wabunge wa CCM inayokataza mtu yeyote kutoa takwimu amabazo hazijaidhinishwa na serikali ya CCM.
I dont need to argue with fool, to be drugged down to there level, then beaten by there experience .
 
Yani hadi kifo cha Magufuli ni wanahabari wakenya walitangaza kwanza.
Eti mpaka Samia aliposema Magufuli amekufa baada ya wiki mbili ndio wadanganyika waliamini magufuli amekufa.
Stupidy kunyans , who once said he was hospitalized there, with 0 prove...like i say dont drug me into shit
 
Sasa itabidi tuongee na Waturuki watuuzie drones. [emoji4][emoji4][emoji4]
Drone zipo from Russia,china na Bulgaria japo sijui kama ni attacker drone au za uchunguzi japo baadhi zilitumika kipindi kile magaidi wamevamia kitaya maana wiki moja baada ya ule uvamizi kulilipotiwa mtanange mkali mpakani mwa Tz na msumbiji
 
Stupidy kunyans , who once said he was hospitalized there, with 0 prove...like i say dont drug me into shit
wanahabari wakenya walisema magufuli yuko brain dead kitandani Nairobi hospital na kilichokua kimebaki ni mashine iliyoshikilia uhai wake kuzimwa tu atangazwe amekufa. Na ikazimwa, ama naongea uongo? Kwa hiyo wanahabari wakenya ni wakweli.
 
Huu mradi ukimalizika Kenya lazima ichague Kati ya
1)Kununua umeme wa Tanzania ili kuokoa "Manufacturing Industry" kwa gharama ya kulidhoofisha uzalishaji umeme Kenya

Au

2)Kuacha Kununua umeme wa Tanzania ili kuwalinda wazalishaji umeme wa Kenya kwa gharama ya kudhohofisha viwanda vyenu.[emoji2][emoji2][emoji2]
Kenya imefikia hatua ambayo wanahitaji tu huruma ya Tanzania only [emoji23][emoji23][emoji23] continue to REST in internal peace mzalendo wa kweli wa Africa JPM
 
wanahabari wakenya walisema magufuli yuko brain dead kitandani Nairobi hospital na kilichokua kimebaki ni mashine iliyoshikilia uhai wake kuzimwa tu atangazwe amekufa. Na ikazimwa, ama naongea uongo? Kwa hiyo wanahabari wakenya ni wakweli.
What a waste[emoji57][emoji57]
.
 
wanahabari wakenya walisema magufuli yuko brain dead kitandani Nairobi hospital na kilichokua kimebaki ni mashine iliyoshikilia uhai wake kuzimwa tu atangazwe amekufa. Na ikazimwa, ama naongea uongo? Kwa hiyo wanahabari wakenya ni wakweli.
No wonder....at all
JamiiForums2030382860.jpg
JamiiForums-409790403.gif
 
Coup detat imefanyika huko Sudan. Jeshi imeamua kupindua serikali.
 
Ninashangaa kwanini Kenya hampindui serikali, Sudan hali ya uongozi na maisha" is better than Kenya"
The last two years hali ya maisha Sudan imekuwa mbovu sana. Inflation imekuwa zaidi ya 15% na umasikini umeongezeka. Halafu kupindua serikali ni ujinga tu. Nchi shit-hole pekee ndio zinatawaliwa na wanajeshi, Chad, Mali, Guinea, Sudan, Egypt. Yaani nchi ambazo hazina hata chembe kimoja cha demokrasia. Wanajeshi hawawezi kuwa viongozi wazuri.
 
wanahabari wakenya walisema magufuli yuko brain dead kitandani Nairobi hospital na kilichokua kimebaki ni mashine iliyoshikilia uhai wake kuzimwa tu atangazwe amekufa. Na ikazimwa, ama naongea uongo? Kwa hiyo wanahabari wakenya ni wakweli.
You can't sell your Hospitals or tourism attraction without Mt.Kilimanjaro and Magufuli by then[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom