Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Hata sifahamu maaana imepelekwa kimyakimya!Hilo gari halikua na vilipuzi kweli
Hata sifahamu maaana imepelekwa kimyakimya!Hilo gari halikua na vilipuzi kweli
Namjua kiasi chake, ila atakuwa vizuri kuliko Baba wa kibra... At least ata kata chain ya ulaji na kuhamisha direction ya mambo. Otherwise wakiachia gatundu gang iamue bhas wajue ndio wanakuwa colonized kabisa.Hivi unamjua Ruto?
so unachagua mtu principled with track record au mtu ambaye ana kila dalili ya ufisadi? Anyway kila la kheri...Namjua kiasi chake, ila atakuwa vizuri kuliko Baba wa kibra... At least ata kata chain ya ulaji na kuhamisha direction ya mambo. Otherwise wakiachia gatundu gang iamue bhas wajue ndio wanakuwa colonized kabisa.
Wewe huelewi siasa ya Kenya kwa hivyo kukuelimisha itakuwa ni kazi ngumu na itachukua muda mrefu. Isitoshe uzi huu sio jukwaa la siasa na pia sisi Wakenya wa hapa JF huwa tumekubaliana kwamba hatutafanya siasa kwenye jukwaa hili tukufu la JF. So hutaniona nikipiga siasa huku. Lakini fahamu tu kwamba maneno ya wanasiasa hayaaminiki. Usiamini kila maneno yanayotoka mdomoni mwa mwanasiasa. Angalia matendo tafadhali.Sio mpaka unitajie ndio nijue unam-support nani... Your prints say it clear.
Na watu wa vitendawili hawajawahi kueleweka, wala hawajui wanatakaga nini
Principled candidates in kenya!? Seriously?so unachagua mtu principled with track record au mtu ambaye ana kila dalili ya ufisadi? Anyway kila la kheri...
Kwa hiyo wakenya wa JF mmekubaliana kunyonya siasa za bongo tu hapa jukwaani na kuchagiza Mada za kisiasa ila karata zenu za kisiasa mmekumbatia kifuani kwenu..Wewe huelewi siasa ya Kenya kwa hivyo kukuelimisha itakuwa ni kazi ngumu na itachukua muda mrefu. Isitoshe uzi huu sio jukwaa la siasa na pia sisi Wakenya wa hapa JF huwa tumekubaliana kwamba hatutafanya siasa kwenye jukwaa hili tukufu la JF. So hutaniona nikipiga siasa huku. Lakini fahamu tu kwamba maneno ya wanasiasa hayaaminiki. Usiamini kila maneno yanayotoka mdomoni mwa mwanasiasa. Angalia matendo tafadhali.

But uko na elements za tribalism. As most of many Kenyans in this forum or this thread specifically.. Ni kama you all belong in one ethnic group.We takatak umekuwa msemaji wa tz saivi? Toa ujinga wako apa, sijuzi tu wandish wenu wamepigwa mishuti tna mpka viongozi wa kisiasa..leo unajifanyw kuzungumzia Tz ..kweli nyani aoni kunduleKazi ya media danganyika nikusifu CCM na kuponda upinzani. In Danganyika huwezi toa takwimu au habari ambazo hazijaidhinishwa na serikali kumaanisha hakuna freedom ya media.
Ata apa apa kwa hii forum ukikosoa magufuli au CCM unapewa ban. Tanzania is a shit hole country.



Aisee nyie nibure kabisa...kwaiyo kwa miaka yote mnaongozwa na koo tatu?Kenya imeongozwa na ukoo tatu kwa miaka hio. Familia ya Kenyatta, Moi na Kibaki. Isitoshe mwaka ujao ukoo wa nne utashika usukani maana mwaka ujao familia hizi tatu hazitakua zikigombea urais.





ukabila inawamalizaTanzania was once EA superpower na hiyo chance ikapita., sasa ni Kenya, which is likely to maintain forever, maybe Rwanda ama Uganda hivi with their oil, if Ethiopia won't join EAC, but TZ ni ndoto za aliniacha, u top once, pengine ndoto, kama vile watu wanasema eti Roman empire will rise again one day.., I doubt.,Wadau huu mjadala umekolea sana, upo very ironically, umenirudisha nyumba kabisaaaa. Nitasamarize kidigo
Kulikuwepo na great roman empire ikafall, akaja napoleon wa ufaransa, akaja metternich wa austria akaanza kuanguka miaka 1840's, wakainuka wakina bismark as coachmen of eropean miaka 1870s wakaja wakina mussolini and hitler miaka miaka 1920s tukashuudia kuibuka kwa marekan na urusi under V.lenin mwanzoni mwa miaka 1918 na kushika kasi miaka ya 1940s but nowdays tunamuona mchanise akipita njia zilezile.........
Sura na mtililiko huo umenifanya niangalie kwa jicho la tatu na kufikiri nje ya boksi, kulikoibua swali fikirishi......" The rise of Tanzania as EA superpower"
Hiyo ni historical trend tu ya kwamba "nothing last forever", nitaweka material evidences siku nyingine Mungu akijaria
Jumapili njeema
Tuusan huwa anakubali mambo kiharaka sn
Superpower za njaa subirini per capital ifike walau $5k hakuna kitu cha maana bado hapa EATanzania was once EA superpower na hiyo chance ikapita., sasa ni Kenya, which is likely to maintain forever, maybe Rwanda ama Uganda hivi with their oil, if Ethiopia won't join EAC, but TZ ni ndoto za aliniacha, u top once, pengine ndoto, kama vile watu wanasema eti Roman empire will rise again one day.., I doubt.,
Wewe na wadanganyika ndio takataka kubwa.We takatak umekuwa msemaji wa tz saivi? Toa ujinga wako apa, sijuzi tu wandish wenu wamepigwa mishuti tna mpka viongozi wa kisiasa..leo unajifanyw kuzungumzia Tz ..kweli nyani aoni kundule![]()
Yani hadi kifo cha Magufuli ni wanahabari wakenya walitangaza kwanza.We takatak umekuwa msemaji wa tz saivi? Toa ujinga wako apa, sijuzi tu wandish wenu wamepigwa mishuti tna mpka viongozi wa kisiasa..leo unajifanyw kuzungumzia Tz ..kweli nyani aoni kundule![]()