Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya imeongozwa na ukoo tatu kwa miaka hio. Familia ya Kenyatta, Moi na Kibaki. Isitoshe mwaka ujao ukoo wa nne utashika usukani maana mwaka ujao familia hizi tatu hazitakua zikigombea urais.

From two elite tribes, forever and always
 
kilichotokea leo kwa Simba SC ni sawa na Tanzania ilivyopokonya kenya bomba la mafuta lisipite kwao.. inauma ila inabidi uzoee
Nani anaangalia amateur boring football
Inayofanana na premier league under 16!!!
 
Na siye hapa kwetu huko Mtwara kuna askari waligongwa halafu dereva akataka kuchukua bunduki zao! Naona tukio limekaushiwa kiaina ila sidhani kama alikuwa dereva wa kawaida! Tangu wale wa Cabo Delgado wasambaratishwe wamehamisha makazi nchi za jirani!
Achana kudhania weka fact
 
Kwa hiyo mwakani wakenya mmeamua ni Bottom - Up sio? Hakuna haja ya pang'ang'a na vitendawili vingi.

Ila wajaluo wa busia noma kweli.. Jana waliwarushia mawe hustler nation sana tu.
Hatujui nani atakuwa rais kati ya hao wawili. Mimi ninajua kuna mmoja akiwa rais basi Kenya imekwisha. Uchumi wa Kenya utaporomoka. Lakini sitamtaja. Siwezi kuongea siasa hapa.
 
kilichotokea leo kwa Simba SC ni sawa na Tanzania ilivyopokonya kenya bomba la mafuta lisipite kwao.. inauma ila inabidi uzoee
simba team imeshuka ubora,walifeli sana kuuza wachezaji ambao wanaubora na wenye uwezo wa kukaa na mpira ball controller,
ndiyo maana alipotoka yule kichaa mourison upepo ukabadilika,ukitaka team iwe bora lazima uwe na wachezaji wenye uwezo wa kuuchezea mpira
 
That is Laikipia County and yes, some whites own land in Laikipia - which is a mostly arid area - contrary to what you guys peddle here that whites own the best parts of Kenya. You have listed a total of 330,641.23 acres to be specific which is a drop in the ocean in comparison to the total amount of land in Kenya. Kenya has a total acreage of 143,815,332 just FYI. Furthermore, the bulk of that Laikipia land are Wildlife Conservations and still wouldn't be available for farming even if the whites didn't own them.

Secondly, I already listed the top 10 richest men in Tanzania and all of them were Indian and Arabs...........is that not specific?
I don't know which mining you are talking about that is 90% local, we are talking about the value of mining. Are you trying to say a local man in Tanzania mines more gas than Equinor? Are you even listening to yourself? Is there even a single Tanzanian who mines gas? Be serious.

Talking about banks, here are your top 5 Banks and their owners.
1. NMB Bank - The Dutch
2. CRDB Bank - Danes
3. NBC Bank - The British through ABSA
4. Standard Chartered Bank - SA
5. KCB Bank - Kenyans (ouch! That hurt!)

Talking of Tourism, who owns those hotels in Zanzibar, Dar es Salaam, Arusha and in your National Parks? Name me a single 5-star hotel in Tanzania owned by a Black Tanzanian.

See?

Now, put in mind this argument was borne from the continous claims by you guys that Kenya is a discriminative and unequal society while Tanzania is an equal milk and honey society. I was simply clarifying the fact that while in Kenya we accept our weaknesses and talk about them, in Tanzania you hide your weakness and put your heads in the sand. The symptoms of a corrupt and unequal society are there in the open, in many cases, worse than Kenya yet you deny the existence of corruption and discrimination in your country.
Unaongea pumba,akili yako ni yakunguni
mbali na hao shareholders NBC ni bank ya government,
ni sawa sawa na wewe kujitapa hapa kuwa KCB ni ya mkenya ila tukizunguka kama unavyotaka wewe hali itakuwa hivi
IMG_20211025_095909.jpg
IMG_20211025_095135.jpg
IMG_20211025_095111.jpg
 
Hizi ni bati kabisa sio aluminium. Ni hatari Sana kama gari itapata collision bati linakuchinja kabisa
That is a bus that was converted into a courier carrier. The Crown Bus Company collapsed and instead focused on ferrying parcels. They modified the bus to fit that purpose. They removed the seats and converted it to courier carrier. The original bus was a standard bus - this is what they looked like.
1.jpg
 
Hatujui nani atakuwa rais kati ya hao wawili. Mimi ninajua kuna mmoja akiwa rais basi Kenya imekwisha. Uchumi wa Kenya utaporomoka. Lakini sitamtaja. Siwezi kuongea siasa hapa.
For the betterment of kenya, you all need to go hustler way..

Otherwise the elite gang will continue to siphon your economy and leave you dry. You need someone out of the establishment.
 
That is a bus that was converted into a courier carrier. The Crown Bus Company collapsed and instead focused on ferrying parcels. They modified the bus to fit that purpose. They removed the seats and converted it to courier carrier. The original bus was a standard bus - this is what they looked like.
View attachment 1986209
toa uchafu
 
For the betterment of kenya, you all need to go hustler way..

Otherwise the elite gang will continue to siphon your economy and leave you dry. You need someone out of the establishment.
Jifunze kusoma maneno ya wanasiasa kwa undani zaidi. Maneno ya wanasiasa hayaaminiki. Wewe angalia matendo ya wanasiasa sio maneno. Mimi huangalia mienendo na tabia ya mwanasiasa na wala sina haja ya kusikiliza maneno yake. Wanasiasa wote ni waongo ila ni jukumu letu kuchagua mwanasiasa ambaye angalau ana matendo mazuri kushinda wengine. Huwezi kuchagua mwanasiasa ambaye ana historia ndefu ya kuwa na matendo mabaya kisha utegemee kuwa atabadilika pindi tu aingiapo madarakani. Maneno ya mwanasiasa ni mavi tu hayana maana yoyote. Tabia na mienendo ya mwanasiasa ndio tunachostahili kuangazia. Natumai tumeelewana mkubwa.
 
Na siye hapa kwetu huko Mtwara kuna askari waligongwa halafu dereva akataka kuchukua bunduki zao! Naona tukio limekaushiwa kiaina ila sidhani kama alikuwa dereva wa kawaida! Tangu wale wa Cabo Delgado wasambaratishwe wamehamisha makazi nchi za jirani!
Hilo gari halikua na vilipuzi kweli
 
Jifunze kusoma maneno ya wanasiasa kwa undani zaidi. Maneno ya wanasiasa hayaaminiki. Wewe angalia matendo ya wanasiasa sio maneno. Mimi huangalia mienendo na tabia ya mwanasiasa na wala sina haja ya kusikiliza maneno yake. Wanasiasa wote ni waongo ila ni jukumu letu kuchagua mwanasiasa ambaye angalau ana matendo mazuri kushinda wengine. Huwezi kuchagua mwanasiasa ambaye ana historia ndefu ya kuwa na matendo mabaya kisha utegemee kuwa atabadilika pindi tu aingiapo madarakani. Maneno ya mwanasiasa ni mavi tu hayana maana yoyote. Tabia na mienendo ya mwanasiasa ndio tunachostahili kuangazia. Natumai tumeelewana mkubwa.
Tony kwanini humkubali hustler? Yani wewe ni timu baba naona
 
Tony kwanini humkubali hustler? Yani wewe ni timu baba naona
Sijataja upande wangu kwa hivyo hujui nasupport nani. Maneno ya wanasiasa ni mavi nakuambia. By the way namaanisha wanasiasa wote iwe nani au nani. Tuzingatie matendo, mienendo na tabia.
 
Sijataja upande wangu kwa hivyo hujui nasupport nani. Maneno ya wanasiasa ni mavi nakuambia. By the way namaanisha wanasiasa wote iwe nani au nani.
Sio mpaka unitajie ndio nijue unam-support nani... Your prints say it clear.

Na watu wa vitendawili hawajawahi kueleweka, wala hawajui wanatakaga nini
 
Back
Top Bottom