Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kusema umekua Arusha,DSM ndo nini? Swali simple DSM au Arusha ulikua wapi ukaona kuna ubaguzi? Serengeti kuna wanyama Pori wanabaguana kwa misingi ya rangi na kikabila kama nyie?
Aisee wakunya you have a long way to go😔😔😔

Sasa unaongea kama mjinga. Nimekuuliza swali, nini kiini cha Uchumi wa Tanzania kuwa dominated na Wahindi Na Waarabu kiivyo kama mnasema hakuna ubaguzi? Maanake kama hamna ubaguzi Na mna opportunities sawa basi haifai watu milioni 60 muwe dominated Na watu elfu 100. Munashinda mkisema Kenya tunabaguana yet Na ubaguzi wetu hatujakuwa dominated kihivyo kama nyinyi.
 
Wewe ndo unaongea kama mjinga🙂 umewahi kuskia mtanzania akilalamika kama nyie ?
Usi force tufanane🙂 Tanzania sio level yenu 🙂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Lazima mtu alalamike ndio kuonekane kuna shida? Kweli wee mjinga.

Mwanzo, kati ya Watz milioni 60, lazima kuna wale wanaoona kuna shida mahali. La pili, jambo linapoonekana wazi then lipo, ukipata nyoka kwa nyumba ya jirani usiseme kuna nyoka kisa hajalalamika? Anyway, ndio huu uzi hapo JF ulioanzishwa na mbongo akiuliza hayo hayo maswali. Usinikujie na huo upuzi eti Wabongo mko tu sawa hamlalamiki eti nyie sio wakabila. 🚮 🚮

Kwani wewe uchumi unautafsiri vipi.
Kwani uchumi maana yake nini kwa kiingereza? Economy sio? Kenya's economy is much bigger than Tanzania's economy. Gdp ndio kigezo kinachokubalika kupima ukubwa wa uchumi wa nchi husika. So tukisema Kenya ina Gdp kubwa kushinda TZ maana yake ni Kenya ina uchumi mkubwa kushinda TZ.
 
Kuchoma watu ndani ya Nyumba za ibada, kupiga watu risasi kwasababu ni Jaluo vs Kikuyu, zaidi ya watu 2000 waliuliwa kinyama during PEV 2007/8, that is pure primitivity. How can you kill each because of tribalism?
Sasa tribalism na uchumi wapi na wapi? Tribalism ni mambo ya siasa sio uchumi. Ni kweli siasa yetu ina tatizo lakini hio inahusiana vipi na uchumi? Kuna nchi ambazo pia zina tribalism na zinafanya vizuri kiuchumi kwa mfano Afrika Kusini ambao wana ubaguzi wa racism na pia Xenophobia dhidi ya Waafrika weusi. Uchumi wa nchi unaweza kukuwa kwa kasi hata kama nchi hio ina tribalism.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Lazima mtu alalamike ndio kuonekane kuna shida? Kweli wee mjinga.

Mwanzo, kati ya Watz milioni 60, lazima kuna wale wanaoona kuna shida mahali. La pili, jambo linapoonekana wazi then lipo, ukipata nyoka kwa nyumba ya jirani usiseme kuna nyoka kisa hajalalamika? Anyway, ndio huu uzi hapo JF ulioanzishwa na mbongo akiuliza hayo hayo maswali. Usinikujie na huo upuzi eti Wabongo mko tu sawa hamlalamiki eti nyie sio wakabila. 🚮 🚮

Nilitegemea utakuja na hoja ambayo ina mashiko🙂
Kumbe maoni ya watu Tu🙂
Jeulize kwa nini kumiliki ardhi Kunyaland ni tatizo na wachache Wana huo uwezo?
 
Kwani uchumi maana yake nini kwa kiingereza? Economy sio? Kenya's economy is much bigger than Tanzania's economy. Gdp ndio kigezo kinachokubalika kupima ukubwa wa uchumi wa nchi husika. So tukisema Kenya ina Gdp kubwa kushinda TZ maana yake ni Kenya ina uchumi mkubwa kushinda TZ.
Kwenye makaratasi sio? Hata nyie mnaizidi Northern Korea kwa GDP, Nigeria inaizidi SA kwenye makaratasi, Kenya inaizidi Tz kwenye makaratasi, je vipi on ground!!??
 
Sasa unaongea kama mjinga. Nimekuuliza swali, nini kiini cha Uchumi wa Tanzania kuwa dominated na Wahindi Na Waarabu kiivyo kama mnasema hakuna ubaguzi? Maanake kama hamna ubaguzi Na mna opportunities sawa basi haifai watu milioni 60 muwe dominated Na watu elfu 100. Munashinda mkisema Kenya tunabaguana yet Na ubaguzi wetu hatujakuwa dominated kihivyo kama nyinyi.
Hebu taja matajiri 20 wa kenya.
 
Kusema umekua Arusha,DSM ndo nini? Swali simple DSM au Arusha ulikua wapi ukaona kuna ubaguzi? Serengeti kuna wanyama Pori wanabaguana kwa misingi ya rangi na kikabila kama nyie?
Aisee wakunya you have a long way to go😔😔😔
Wanyama wanabaguana wewe mzee kwani hujui? Lini umemuona Simba akifanya ngono na punda milia? Binadamu ndio wanyama ambao hatustahili kubaguana maana tukibaguana inaleta vita na uadui.
 
Nilitegemea utakuja na hoja ambayo ina mashiko🙂
Kumbe maoni ya watu Tu🙂
Jeulize kwa nini kumiliki ardhi Kunyaland ni tatizo na wachache Wana huo uwezo?
Nani kakwambia kumuliki ardhi Kenya ni Tatizo? Shida yenu Wabongo ni kukariri upuzi mnaoambiwa na Wanasiasa wenu. Kenya kila mtu ana ardhi na ukiwa na pesa utanunua ardhi popote utakako.

La pili, sisi Wakenya hukubali mapungufu yetu ndio maana kila mara tunajaribu kuwa better. Shida yenu Wabongo huwa hamtaki kukubali mapungufu yenu. The first step towards righting a wrong is accepting the wrong. If you can't accept the wrong then you will never go right.
1. Mnasema hamna ubaguzi 100%
2. Mnasema hamna njaa
3. Mnasema umeme kila mtu anao
4. Mnasema kila mtu ana makazi bora
5. Mnasema Elimu yenu ni bora zaidi kuliko zote
6. Mnasema sera zenu ni bora zaidi kuliko zote

Meanwhile
1. Matajiri wenu wote Wahindi na Waarabu
2, Statistics zinaonyesha malnutrition iko juu zaidi bongo kuliko Kenya, Uganda na Rwanda na life expectancy iko chini ya hizo nchi tatu
3. Statistics zinaonyesha Kenya ina msambazo wa umeme mara mbili ya Tanzania
4. Miji ya Kenya imepangika kuliko ya Tanzania na nyumba za vijijini tena generally ni bora Kenya
5. Matajiri wa Tanzania wanakimbilia kusomesha watoto shule za Kenya
6. Madini yenu yameibwa sana na nchi za nje.
 
Kwenye makaratasi sio? Hata nyie mnaizidi Northern Korea kwa GDP, Nigeria inaizidi SA kwenye makaratasi, Kenya inaizidi Tz kwenye makaratasi, je vipi on ground!!??
On the ground, 75% of Kenyan households is electrified while less than 45% of Tanzanian households is electrified. Mobile phone penetration rate in Kenya is more than 100% maanake ni kuwa karibu kila Mkenya above 18 anamiliki simu ya rununu na wengine wana simu mbili au tatu. Nyie mobile phone penetration rate yenu ipo less than 80% hiyo ina maana kwamba kuna waTZ wengi ambao bado hawana simu ya rununu. Vile vile literacy rate in Kenya is much higher than in TZ maanake idadi ya watu waliosoma na kumaliza shule ya sekondari Kenya ipo juu kushinda TZ. Najua utarudi kwenye mambo ya chakula, ni kweli hapo tu ndio mumetushinda. Huwa mnakula sana na kushiba sana kutushinda lakini hapo tu ndio mumetushindia.
 
Upuzi gani jamaa? 🤣 🤣 🤣

Ndio hawa matajiri Wa bongo
1. Mo Dewji
2. Rostam Aziz
3. Said Bakhresa
4. Ally Awadh
5. Shekhar Kanabar
6. Shubash Patel
7. Hussein Rashid
8. Yusuf Manji
9. Salim Turkey
10. Ghalib Mohamed

Yani hamna Mwafrika mweusi hata mmoja.
Mengi
Mafuruki

Na hao je???
 
Wanyama wanabaguana wewe mzee kwani hujui? Lini umemuona Simba akifanya ngono na punda milia? Binadamu ndio wanyama ambao hatustahili kubaguana maana tukibaguana inaleta vita na uadui.
Ujamuelewa mwenzako 🙂
Jamaa kasema amefika Tanzania akanitajia Serengeti ndo na Mimi nikaachia swali la kizushi kutokana na statement yake 🙂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Lazima mtu alalamike ndio kuonekane kuna shida? Kweli wee mjinga.

Mwanzo, kati ya Watz milioni 60, lazima kuna wale wanaoona kuna shida mahali. La pili, jambo linapoonekana wazi then lipo, ukipata nyoka kwa nyumba ya jirani usiseme kuna nyoka kisa hajalalamika? Anyway, ndio huu uzi hapo JF ulioanzishwa na mbongo akiuliza hayo hayo maswali. Usinikujie na huo upuzi eti Wabongo mko tu sawa hamlalamiki eti nyie sio wakabila. 🚮 🚮

Source jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom