babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,458
- 36,110
Nyie wazee mnaonga parefu halafu show ya sekunde kadhaa ndio maana mabinti wanawaelewa maana hamuwachoshi. [emoji23][emoji23][emoji23]Ninyi ni pasua kichwa, hamtaki kutoa pesa lakini kitandani mnasimamia kucha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ka Nairobi kweli ni kadogo wallahi, yn ka expressway ka 5km zilizoinuka ndo kame cover CBD, West land mpk airpot [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio airport pekee. Hii expressway inapitia Mombasa road ambapo kuna industrial area of Nairobi. Hapo kuna industries nyingi sana. Pia Mombasa road ina estates ambapo wakaazi wengi sana wa Nairobi wanaishi. Pia eneo hilo kuna Nairobi inland container depot ambapo malorry yanakuja kubeba containers zilizoshushwa na treni ya SGR. Hii expressway pia inapitia Nairobi CBD ambapo huwa kuna jam kali sana. Isitose hii expressway pia inapitia Westlands pia ambapo huwa kuna jam kali sana. Kwa hivyo sio jam inayoelekea airport pekee itakayopungua. Naona huielewi Nairobi vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]Nyie wazee mnaonga parefu halafu show ya sekunde kadhaa ndio maana mabinti wanawaelewa maana hamuwachoshi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana akionga elfu 50 lazima ahakikishe ametosheka.
Kwanza kwa kuwa tu na iyo mentle ya mshahara ni tatizo...pili naona umetumia mshahara wako kujipima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio mbaya pambanaHela iliyotumika ku pimp hyo matatu mzee inakulipa mshahara mara kibao[emoji1787][emoji1787]
Hyo graffiti tu kulipia utahara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1)19< Age: They have time, Energy but no Money
2) 20 - 40 yrs; They have Energy, Money but no time
3) Above 45year; They have time, Money but no Energy
Kwahiyo mabinti wanajua kwamba huku watapa "Maximum attention"(time), highest pay(Money), from less work they perform (No Energy)[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo lenu wabongo ni kutowathamini wazee[emoji13][emoji13][emoji13]
Naona pamoja na service road zitakuwa 8
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninyi ni pasua kichwa, hamtaki kutoa pesa lakini kitandani mnasimamia kucha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwann unanirushia mate🤣🤣🤣🤣Wajinga hawa ndio walisema tax ya mafuta iongezwe, sasa hio bei ya mafuta kupanda imeleta tatizo kubwa hapa Kenya.
wasiache kufungua hizo shule za Lugha Europe/North America and Asia maana kule biashara ni kubwa na kwa soko endelevu!Watawapata sana wanigeria na hata waghana
So ukiwa na expressway ya mchina ndio maendeleo hvi nyinyi mpaka leo hamujashtuka kua hio expressway mumefanya bonge la mistake kumpa mchina kwa miaka 30Usidharau hii project. Hii ni the longest expressway in Africa. Hata South Africa au Egypt hawana expressway ndefu kama hii.
Kwenye no time ndo kuna tatizo sisi wa 20 - 40 yrs. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakenya ni vituko sanaKuna sehemu niliona kuna jamaa kapost ethiopia imeomba itumie uwanja wa kasarani game yao na ghana kumbe alikua anadanganya au sijui ndio source zao za kibera!
View attachment 1982445
itakuwa kwa mbezi sehemu ganiflyover mbezi loading ..
View attachment 1982547
hao mazomb wa kenya ni vituko sana,hawajawahi kutembea huwa wanaropoka tuWatu wanafananisha zenji na ule uchafu wa Mombasa
France launches new direct flight from Paris to Zanzibar
France yesterday launched a new flight that will see passengers travel direct from the French capital Paris to Tanzania's archipelago Zanzibar.t.co