Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told you, kw taarifa yako basi uhuru ndio rais ambaye amefanya miradi mingi sana pwani hata kuliko rais yyte yule hapa kenya..

Mambo ya vijiweni peleka kwenu
Amefanya miradi gani ??😆😆😆 zaidi ya kuua uchumi wa pwani na watu wake
 
Wewe ni muongo mzee sisi kigoma mjini na kasulu mjini tulijengewa stand na magufuli tembea uone
hebu iweke tuone hadhi yake humu halafu tufananishe na kituo cha mabasi kinachojengwa Chato kijiji cha gharama ya zaidi ya Tshs 15 bln!






VS


Geita Town



VS


Chato Bus Stand phase I




Serkali yatoa bilioni sita kujenga stendi mpya ya mabasi Chato


18. Juni 2021


Mkuu wa mkoa wa Geita Bi. Rosemery Senyamule amemtaka Mkandarasi Chuo cha Ufundi Arusha ATC anayejenga stendi kuu mpya ya mabasi Chato kukabidhi stendi hiyo mwezi wa saba ili mabasi yanayoenda mikoa jirani waanze kuitumia kwa kuwa serkali imeshatoa fedha zaidi ya bilioni sita.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chato Sosthenes Clemence anasema ujenzi huo unatarajiwa kugharimu bilioni sita na mabasi zaidi ya mia moja yatatumia stendi hiyo..

Mkuu wa wilaya ya Chato Mhandisi Charles Kabeho anasema ujenzi wa stendi hiyo imekamilika kwa asilimia hamsini na itaanza kazi hivi karibuni.
 
Karibuni home county Mashujaa day tunajitayarisha
 

Attachments

  • FB_IMG_16346543027186681.jpg
    56.4 KB · Views: 21
Huu ujenzi wa chuo cha TPSC Chato umefikia wapi?









MY TAKE
Hii ni baada ya JPM kufutilia mbali mpango wa Chuo cha Kilimo cha Mwl Nyerere Butiama
Yule jamaa na Idd Amini au Mabutu huwezi watofautisha,madikteta wapumbavu na wabaguzi wa kutosha,tungekoma bora alivyotangulia.
 
Serikali ya Dhalimu ndio ilikuwa inaficha , usimlinganishe mama na Dhalimu,She is clear chanjo sio tiba bali inapungiza complications ukipatwa na uviko .
 
Maoni yako yanaheshimiwa ila kwangu huyo ni Rais wa hovyo kuwahi tokea Tzn,sio tuu hakuwa mtu wa demokrasia bali alikuwa mwanamgambo asiyetumia akili,Nia njema isiyo na njia sahihi at last disaster .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…