Hehehe!!jengeni barabara basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ki ukweli kwenye sector ya usafiri hakuna nchi ina enjoy ukanda huu kama Tanzania yaani mpaka vijijini wanapata first class services [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hao jamaa wapo nyuma sana aisee, hzo old model zimejaa tanzania mpka basi[emoji1787][emoji1787]Yani Tanzania ni taifa ya mifukara kwa wingi.., on average what u use on road transport ni vipanya vya zamani sana.., hizi ndio mingi zaidi ya mabasi in Tanzania ama unapinga?.., model za zamani, uso wa ufukara
Ndio sababu Kuna wataalamu wa Afya wenye uwezo wa kutoa majibu ya maswali yako, sisi waafrika tatizo letu ni kujifanya wajuaji wa kila Jambo, hatuaheshimu kabisa "Professionalism", ninachokiona kwako ni upungufu katika eneo la "Medical Epidemiology and Biostatistics".Mbona walio chanjwa wanakufa serikali inaficha ,sasa kama wao wapo OK kwanini wasiwe wazi wangapi wamechanjwana kuugua kovidi na wangapi wamechanjwa wamekufa kwa kovidi ,pia kwanini baada ya kuchanjwa ndiyo wanavaa barakoa hadi wakati wanaoga wanaoga na barakoa tuta amini vipi kuwa chanjo ni ya kweli kama awajiachii
Do you care?So what?
Tundu lisu alipost zile gari a week ago zikitembea dar, ali quote na kusema ya kwamba zile hauaga hazionekani mpka afe mtu mkubwa serekalini...Mzena hospital iko Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nendeni mkamfukue basiNoma,Nimelipenda desk lao la reception!!!limereflect jengo lenyewe!!!
Km kawa mi boksi bodi ya uchina[emoji16][emoji16]
zilipendwa,enziii hizoooooHao jamaa wapo nyuma sana aisee, hzo old model zimejaa tanzania mpka basi[emoji1787][emoji1787]
Sio tanga, arusha yani acha2
Nyie jengeni barabara bana[emoji1787][emoji1787]Na haya ni mabox toka Bangladeshi View attachment 1979715
View attachment 1979716
View attachment 1979717
Hzo old fashioned tanzania zipo mpka leo[emoji1787][emoji1787]zilipendwa,enziii hizooooo
agiza tusker utoe kiu nitakulipia kwa M.pesa
Hahaha!!mbona unawasuta kw mafumbo mzeeHadi Sasa watanzania zaidi ya 700 wameshakufa, is this not serious problem?, Wakenya zaidi ya 5000 wamekufa, South Africa zaidi ya watu 10,000, collectively waafrika zaidi ya laki 3 wamepoteza maisha.
Uchumi wa Africa umerudi nyuma zaidi ya miaka 20 kutokana na impact ya UVIKO 19, biashara zimesambaratika, watu wamepoteza ajira, bado unasema COVID 19 sio seriou, are you really serious?, au kipimo chako cha seriousness ni Italy na nchi za Ulaya?.
Magufuli alikua ni "World brand" wakenya lazima watumie jina lake kutangaza Hospital zao, Kama wanavyotumia jina la Mlima Kilimanjaro.Mzena hospital iko Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chief Mkwawa. Humu mwamba tunamchukulia poa sana lakini alifanya makubwa hasa kwa kipindi kile. Alimpa wakati mgumu sana mjerumani Ni sawa sawa na Daudi na Goliath. ANAFAA KUKUMBUKWA KWA KUJENGEWA SANAMU.Niice kwny round about!!!Waweke monument basi!!!Rais gani awekwe?!!!πππ
cc game overHadi Sasa watanzania zaidi ya 700 wameshakufa, is this not serious problem?, Wakenya zaidi ya 5000 wamekufa, South Africa zaidi ya watu 10,000, collectively waafrika zaidi ya laki 3 wamepoteza maisha.
Uchumi wa Africa umerudi nyuma zaidi ya miaka 20 kutokana na impact ya UVIKO 19, biashara zimesambaratika, watu wamepoteza ajira, bado unasema COVID 19 sio seriou, are you really serious?, au kipimo chako cha seriousness ni Italy na nchi za Ulaya?.
Weka ushahidi kama Huna shut your mouth.Tundu lisu alipost zile gari a week ago zikitembea dar, ali quote na kusema ya kwamba zile hauaga hazionekani mpka afe mtu mkubwa serekalini...
Mama akaanza kujitia kukagua polisi na wanajeshi kumbe mwili upo JKIA kimya kimya unawahishwa bongo
Kwahiyo serikali yenu pia inawaficha kwasababu wanaona Tz ni taifa kubwa hivyo hawawezi kusema siri ya taifa kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tundu lisu alipost zile gari a week ago zikitembea dar, ali quote na kusema ya kwamba zile hauaga hazionekani mpka afe mtu mkubwa serekalini...
Mama akaanza kujitia kukagua polisi na wanajeshi kumbe mwili upo JKIA kimya kimya unawahishwa bongo
There are 3-active international airports in Tanzania, and only one inKenya View attachment 1979741