Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio tunataka wawekezaji walete pesa Ili kuwatoa watu kwenye umaskini,kwani umaskini ni kitu cha ku entertain?
 
Mkuu Kenya hakuna upinzani zaidi ya ukabila, niambie upinzani wa Kenya unachokitaka ni lipi zaidi ya kupigania mtu wa kabila lao kuwa rais. Hawapo tayari kufa kwa Jambo lolote lile zaidi ya kutaka mtu wa kabila lao kupata urais, Sasa huo ni upinzani au ukabila?
 
Unastahili kufahamu kuwa kwa kawaida,mji mkuu wa uchumi wa $102 billion kamwe hauwezi kutoshana na mji mkuu wa kauchumi kadogo ka $70 billion. Dar inaizidi Nairobi kwa idadi ya watu pekee. Kwenye majengo marefu tulishawapiga mkakaa chini zamani.
Huu ☝️wenyewe ni uongo, hakuna shughuli ya maana inafanywa hapo Nairobi hata iizidi DSM.. Inabidi tujadili hizi claims zako kwamba NAIROBI IS RICHER than DSM kwa lipi.?
Bro unaongea sana kana kwamba Dar hakuna miti iliyopangwa, hapo Nairobi hakuja jengwa kabisa it's a tiny town.. alaf nyie sehemu ikiwa na vigorofa vitatu tayari mnaita CBD kweli.? Na sie hapa👇tupaite CBD.?hii nayo tuiite CBD.? Kwasababu kuna vigorofa kadhaa, kenyans acheni uongo.. au hii nayo kwasababu Ina gorofa ndefu kadhaa nayo tuiite CBD 👇kwenye hizo CBDs zenu uchwara sio West lang na uper hill kuna nini zaidi ya vigorofa viwili vizuri in each one.? Acheni uongo

 
Sasa hizi miti mbili ndio unapost hapa NDINDA ? Hata aibu kidogo hauna? Kama hii ndio green spaces ya Dar basi hata hakuna haja ya kulinganisha Nairobi na upuuzi huu.
Bro DAR kuna miti mingi mno usijichanganye
Hapa hapo kwenu ni mapori tengefu, hakuna mji wowote mkubwa duniani uko na mapori ya hivyo, mapori sio masafi na hayana mpangilio
 
Mimi Magufuli ninamkubali Sana, baada ya Nyerere anakuja Magufuli, ameifanya Tanzania iheshimike na kujulikana duniani baada ya kupoteza heshima yake ya kipindi cha Nyerere, lakini Kuna maeneo alifanya vibaya, wakati Nyerere alisisitiza haki za binadamu na demokrasia lakini uchumi ulimshinda, Magufuli alifanya just opposite ya Nyerere.

Nyerere wakati anaondoka madarakani alikiri kwamba sera zake za uchumi hazikufanikiwa Kama alivyotarajia, alikubali na kukiri mapungufu yake, bahati mbaya Magufuli hakupata muda huo, lakini ninaamini Kama angepata muda mrefu wa kuishi na kuandika kitabu Kama alivyofanya Mkapa, angekiri madhahifu yake katika hayo maeneo ya demokrasia, haki za binadamu na mapungufu katika kukabiliana na UVIKO 19
 
Jana nilikua namsikia mfanyabiashara mmoja alikua anasema Coca-Cola na asas ndio wanaojenga halafu wataamia mule lakini sina uhakika . Nilikua nakula mihogo alone huku nasikiliza story za watu wengine

Ukiangalia Logo za Brands kwenye Mabanda ambayo tayari yamejengwa inawezekana. Ni bora pawe na order kuliko zile fujo za Mwanzo.
 

Mwinyi na mkapa walikiri kwamba walibugii bado kikwete
 
Unatafuta justification kwa mtu ambaye hajaweka any evidence to support his claim, kweli umeisha, huyo jamaa uliyeweka uzi wake hapa ni mjinga na huwa anachukuliwa hivyo hivyo kwamba ni mjinga, thread zake ni za kipuuzi na huwa anajaribu kuponda vitu ambavyo havipondeki, nilikuwa namlipua kwa kumpa facts with credible sources lkn baadaye nikagundua ni mpuuzi mmoja tu nikaachana naye.
 
Wewe endelea kupingana na WB na IMF. Sasa kati ya IMF na wewe nani ndio kichaa? Kati ya IMF na wewe tumuamini nani?
Amini on ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nakazia.
aina maana pia kumlinganisha magu alokaa 6yrs na samia ambae hata mwaka bado
 
Kama una amini hivyo basi ndiyo maana atumwamini mama sa100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…