Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jamaa kapagawa kweli kweli
 
Bila uthubutu wa JPM wala huyu muharibu uzi asingeota kufungua huu uzi wa SGR comparison.

Halafu leo hii yupo hapa kupiga panganga!




 
Nicheke tu mie!




 
Mimi naona mngeacha kureply comments zake humu maana hata aandike nini hawezi badilisha chochote.

Mimi huwa nikiona comments zake siumii hata kidogo zaidi ya kutabasamu tu maana najua haziwezi badilisha chochote.

Mnavyoendelea kureply comments zake ndivyo anapopata sifa za kuleta siasa humu.

Ni aina ya wale watu wabishi ambao huwa hawapendi kushindwa mkiwa mnabishana, yuko radhi abishanie kitu kidogo hata kama hakina maana ili mradi tu amebishana...ndio wale huwa tunasema "anapenda kubishana kuliko kula"



Mnampa attention ndio maana anaendelea kuwaudhi na atawaudhi kweli mkiendelea kureply comments zake maana ameshajua udhaifu wenu ulipo.
 
Nchi ya project moja, btw hongereni Wakenya mna ushirikiano humu Jamii Forums tofauti na sisi Watanzania, kuna wasenge wachache wanapambana kuhakikisha ushirikiano uliopo kwa watanzania kwenye huu uzi unaharibika kumamae zao, Gud night.
Project ziko kwa wingi Kenya but hii expressway carries the day🔥👑
 
Magufuli alikua na uwezo mdogo sana wa kufanya maamuzi. Na hii highway ni mfano mzuri kuonyesha kua magufuli hakua anajielewa ni kupiga mdomo tu. Niliuliza apa apa jf kwa nini highway haina overpass wala service roads. Lakini taga ni akina nani, waliungana mkono kunitukana tu. Sasa wadanganyika wenyewe wazawa wameanza kuona design flaw kwa barabara na wanauliza overpass na service road ziko wapi?
 
Acha kujitoa ufahamau wewe

Unajua naongelea nini lkn bado unataka kuzuga tu..
Kule utakimbia nakwambia
 
uzuri nasifia na kukosoa pia kwenye ukabila wake ukatili wake na upendeleo wake nausema pia!
 
Sasa Kama by 2020 Kenya ilikua na 20K kilometa za lami na Tanzania Kikwete alikabidhi nchi kwa Magufuli 2015 Tanzania ikiwa na 18K kilometa za barabara za lami, yaani miaka mitano ya Magufuli (2020) unategemea Tanzania itakua na kilometa ngapi za lami?
 
Sijui. Pengine zaidi ya 20k? Wewe tuambie.
 
Kikwete mwnywe anasemaje
 
Tell him!🤗🤗
 
Wana wa kona ileee🥱

Bandari ya kifisadi ya $10B huko Bagamoyo hawawezi kuiona kwa sababu ya ile kona.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…