Urban and rural water supply: Kenya vs Tanzania

1572843794983.png
 
Hivi ndivyo miradi ya maji inavyotekelezwa. Hapa ni Arumeru ambapo mafundi wanapambana kulaza bomba mlimani katika mradi wa maji wa mserereko. Unapofungulia maji bombani ujue safari yake ni ndefu. Hivyo lipa bills za maji kwa furaha!
 

Tweet ya Serikali yenyewe??😂😂😂 Ni Kama wewe ujitangaze kuwa Ni mtu mkarimu, mzuri na mcha Mungu... blowing your own horn, having your cake and eat it.
Hii Ni ile Serikali imekuwa ikiwadanganya inakuwa kwa 7.2% badala ya 4.1%?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya wakulima wa Korosho watalipwa hela zao?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya kuwa itajenga Bandari ya Bwagamoyo?
Geza ulole usifanye nianzishe huu uzi kule jukwaa la siasa na kusumbua ukweli 😂😂😂 infact I am doing so right now.
 
Back
Top Bottom