Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba within 7 good years UHURU ametengeneza 10k km of paved roads, , wacha we.. alafu wakoloni pamoja na marais wote wa kenya waliopita wanatengeneza 11km of paved roads.? 1963-2013.. bwahahahah .. bro ni kweli uyasemayo.? Wakenya bhana muache uongo
jamaa kapagawa kweli kweli
 
Bila uthubutu wa JPM wala huyu muharibu uzi asingeota kufungua huu uzi wa SGR comparison.
Halafu leo hii yupo hapa kupiga panganga!




 
Nicheke tu mie!



Exactly angalia hospitali ya mfano ya wilaya ya Ilolo





nje ya Nairobi huduma za afya ni majanga! Halafu ujue hospitali nilizoweka hapa sijajumuisha zile za taasisi za kidini ama binafsi! Kenya hata zile za binafsi state of the art zipo mainly Nairobi! Muacheni JPM jamani ashukuriwe anachofanya district hospitals zaidi ya 80 (67+ phase II) si kitu cha mzaha hata kidogo!

Mbali ya hayo kuna several pharmaceutical plants coming up!

images


 
Mimi naona mngeacha kureply comments zake humu maana hata aandike nini hawezi badilisha chochote.

Mimi huwa nikiona comments zake siumii hata kidogo zaidi ya kutabasamu tu maana najua haziwezi badilisha chochote.

Mnavyoendelea kureply comments zake ndivyo anapopata sifa za kuleta siasa humu.

Ni aina ya wale watu wabishi ambao huwa hawapendi kushindwa mkiwa mnabishana, yuko radhi abishanie kitu kidogo hata kama hakina maana ili mradi tu amebishana...ndio wale huwa tunasema "anapenda kubishana kuliko kula"


Mnampa attention ndio maana anaendelea kuwaudhi na atawaudhi kweli mkiendelea kureply comments zake maana ameshajua udhaifu wenu ulipo.
 
Nchi ya project moja, btw hongereni Wakenya mna ushirikiano humu Jamii Forums tofauti na sisi Watanzania, kuna wasenge wachache wanapambana kuhakikisha ushirikiano uliopo kwa watanzania kwenye huu uzi unaharibika kumamae zao, Gud night.
Project ziko kwa wingi Kenya but hii expressway carries the day🔥👑
 
Magufuli alikua na uwezo mdogo sana wa kufanya maamuzi. Na hii highway ni mfano mzuri kuonyesha kua magufuli hakua anajielewa ni kupiga mdomo tu. Niliuliza apa apa jf kwa nini highway haina overpass wala service roads. Lakini taga ni akina nani, waliungana mkono kunitukana tu. Sasa wadanganyika wenyewe wazawa wameanza kuona design flaw kwa barabara na wanauliza overpass na service road ziko wapi?
Screenshot_20211016-222013.jpg
 
Kule skyscraper huwa na deal na mambo ya Tz tu, huwa sijishughulishi na habari zenu cz hakuna jipya mtapost, na kama kungekuwa na jipya mngeshapost humu, tofauti ni nn mpk msipost humu, mmeanza kutafuta sababu wapuuzi nyie, mshamaliza picha zote wkt cc ndiyo tunaanza.
Acha kujitoa ufahamau wewe
Unajua naongelea nini lkn bado unataka kuzuga tu..
Kule utakimbia nakwambia
 
Bila uthubutu wa JPM wala huyu muharibu uzi asingeota kufungua huu uzi wa SGR comparison.
Halafu leo hii yupo hapa kupiga panganga!




uzuri nasifia na kukosoa pia kwenye ukabila wake ukatili wake na upendeleo wake nausema pia!
 
carter Sama boy 255 The best 007 ndio huu mzigo nimeupata. Nilikuwa tayari nimeshaisoma karibu yote. Ni mzigo mkubwa sana yenye pages karibia mia nne ila page husika ni page 201. Nitaweka link hapa aliye na haja afuate huko asome page 201. Ila pia naweka screenshot. Kwenye hii screenshot utaona kwamba by 2020 Kenya ilikuwa na 19,648 km of bitumen road. Yaani hio ni kama 20,000 km. In fact by now imeshafika 20,000 km maana hii data ni ya 2020.




View attachment 1976612


Hapa nimezoom zaidi ili mueze kuona vizuri hapo mahali palipoandikwa kwamba Kenya ina 19, 629 km of bitumen (paved) road.


View attachment 1976614
Mwishowe ninaweka link anayetaka kusoma zaidi afuate link aende page 201.
Sasa Kama by 2020 Kenya ilikua na 20K kilometa za lami na Tanzania Kikwete alikabidhi nchi kwa Magufuli 2015 Tanzania ikiwa na 18K kilometa za barabara za lami, yaani miaka mitano ya Magufuli (2020) unategemea Tanzania itakua na kilometa ngapi za lami?
 
Sasa Kama by 2020 Kenya ilikua na 20K kilometa za lami na Tanzania Kikwete alikabidhi nchi kwa Magufuli 2015 Tanzania ikiwa na 18K kilometa za barabara za lami, yaani miaka mitano ya Magufuli (2020) unategemea Tanzania itakua na kilometa ngapi za lami?
Sijui. Pengine zaidi ya 20k? Wewe tuambie.
 
Sasa Kama by 2020 Kenya ilikua na 20K kilometa za lami na Tanzania Kikwete alikabidhi nchi kwa Magufuli 2015 Tanzania ikiwa na 18K kilometa za barabara za lami, yaani miaka mitano ya Magufuli (2020) unategemea Tanzania itakua na kilometa ngapi za lami?
Kikwete mwnywe anasemaje
 
Chuki yako kwa huyu Hayati ni mbaya sana. Ameshakufa bado hamridhiki mnaendelea tu kumuandama?! Acheni majungu mmeshapata madaraka mliokuwa mnayatamani jengeni nchi sasa kuliko yeye mtakubalika. Kukaa na kupiga majungu mambo aliyofanya hakusaidii kitu.
Thamani ya miradi ya Chato inaweza kufikia daraja la sealnder? Inaweza kufikia sgr? Inaweza kufikia brt phase 2? Inaweza kufikia stiglers dam? Au hivyo navyo viko Chato? Hospitali za wilaya zilizojengwa zote ziko Chato? Daraja la wami liko Chato? Vikvuko vyote vilivyojengwa vinatoa huduma Chato? Acheni roho mbaya let the man rest in peace na jengeni nchi acheni majungu na uswahili.
Tell him!🤗🤗
 
Kikwete alitaka kuingiza nchi kwenye mkataba wa kipumbavu kwa bandari ya Bagamoyo amabapo mzigo wa madeni ungekuwa mkubwa kwa wtz, alijenga chuo kikuu Bagamoyo nk, hivi, mradi wa hii bandari gharama yake inalingana na pesa za chato? Hospital ya Chato ni kanda, iweje ww uiweke kuwa ni ya Chato? Usifanye watu wajinga bhana
Wana wa kona ileee🥱

Bandari ya kifisadi ya $10B huko Bagamoyo hawawezi kuiona kwa sababu ya ile kona.😂
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom