Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta picha za Geita Town halafu mie nikulipe na za Chato wilaya! tuanze public facilities nishaonyesha hospitali, tawi la Benki na stendi za mabasi! Una zako ambazo zipo bora?


Tanesco Chato





leta picha ya Tanesco Geita mjini!
 
Musoma ni mji mkubwa.
 
Hehehehee umempa vidonge mujarab kabisa lkn huyu mzee ni mkaidi na anapenda ligi ngoja aje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwekezaji wake kipindi cha Magufuli ulitumia pesa za serikali bila kupitishwa na Bunge hilo liko wazi refer ujenzi wa uwanja wa Chato na majadaliano Bungeni!

Sasa ulitaka zitumike pesa za mtu binafsi hau , pesa zipi izo ambazo hazikupitishwa na Bunge leta ushahidi hapa na hata kama zilipitia wala hazikupitia cha muhimu investment imeonekana kumbuka hata pesa za manunuzi ya ndege hapo awalii CAG assad alisemaga hazikupita bungeni (haziko accounted)m bona izo huhojii
 
Roho inaniuma sana watu wakipiga kelele eti Magufuli aliipendelea chato, sijui mbaguzi .. dah, wamesahau uongozi wa kikwete mpaka kumalizia ameifanya mkoa wa pwani kuwa ndio mkoa wenye idadi kubwa ya viwanda kuliko mkoa wowote tz
 

 
Naombeni mnisaidie kuipitia hii article ya total KM's of paved roads in kunyaland


Teargas Tony254

[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]

Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto [emoji1787][emoji41]

 

Hawa jamaa ndio kila siku wanatutambia umu eti wake na almost 20k paved roads 😅😅😅
 
leta picha za Geita Town halafu mie nikulipe na za Chato wilaya! tuanze public facilities nishaonyesha hospitali, tawi la Benki na stendi za mabasi! Una zako ambazo zipo bora?


Tanesco Chato





leta picha ya Tanesco Geita mjini!
We hujawahi kufika geita unadangaywa tu na wanasiasa wa upinzani unaondoka nayo .. kwanza, soko la kisasa, Machinjio ya kisasa.. hizo facilities zilitengenezwa Geita mjini na sio chato.. pia chato kulijengwa hospital kubwa tu ya mkoa, pamoja na jengo la Halmashauri. Pita hapa👇 . Individual development level mjini Geita 👇. . Nilikuepo hii mikoa juzi tu naijua vizur, huna cha kunidanganya .. kwahiyo kwasasa najua nini kinaendelea, tembea bro usijifiche DSM pekee
 
Hahaha ndio wanatafuta kufikia 12k za paved roads. Ndio malengo ya nchi ati..
Hizi ni 10k km ambazo Uhuru amejenga. Total ni 21k km ya lami. Wivu wenu hautabadilisha ukweli huo.
 
Hyo article inabd itunzwe vizuri, kuna mtu itabidi apigwe na kitu kizitoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…