ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
lini kenya ikawa jirani mzuri kwa tanzania lini na wapi???????😀😀😀😀😀😀😀Mwenye aliileta forum ya Kenya ndiye alituhusisha.
Lakini sisi kama majirani wazuri, hatutaki mwende njia ya Zimbabwe alafu kuwa migrants huku Kenya kwa sababu ya uchumi wenu.
South Africa wameumia sana kwa sababu ya Mugabe. Ndio maana xenophobia imejaa huko.
watu wanaumia tanzania kudai pesa zake🙄🙄