Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As I have said, every information that does not contain 2017 data is outdated.
But you can see here. From the 20% you were quoting in 2013 to 34% in 2014.
14% in a single year. Ongeza za 2015, 2016 and 2017.
Nimekuambia leta statistical information wewe inaleta blah blah hapa. Give me the source of your data (Statistical information)
Sasa unakuja na kuimba mapambio nikueleweje?
 
Growth yenu ilikuwa just the normal growth year in year out.
Kenya was expedited by Jubilee.
So what happened in only three years
Give me the statistical source sawa ndugu?
 
Kenya GDP Per Capita - $1,455
Tanzania GDP Per Capita - $879

Hio ndio maana ya LDC.
Acha kutuletea cooked figures. Real source ya GDP per capita hii hapa. Hapa sio Nairaland.
Screenshot_2017-07-17-02-02-10.png
Screenshot_2017-07-17-02-02-10.png
Screenshot_2017-07-17-01-58-31.png
downloadfile-8.png
 
The GDP will drop

sent from iPhone 7
hiyo ni akili yako ya chooni......huku hatutaki investors uchwala wanaohujumu uchumi kwa kukwepa kodi huo ni wizi.....

yaani nyie wakenya ndiyo maana nawaita stupid yaani mnataka investors wakihujumu uchumi tucheke nao....aiseee kweli nyie ni wapuuzi
 
Unaelewa kiswahili wewe bwege hio ni deni ya 17 yrs kenge wewe....😀😀

Unafkiri kwann wanataka suluhu na serekali wanajua mali zilizomo kwenye makontena ni balaa
Ndio maana wamechanganyikiwa😛😛😛
na hili ndiyo limekuwa funzo kwa nchi zote africa na investors kwa ujumla na dunia
 
Wewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.
Pesa tunadai sisi kinacho kuwasha ni nini!?
Since 1999 wamekuwa wakidanganya na kukwepa kodi. Sasa piga hesabu ni miaka mingapi!?
Halafu usitulinganishe na SA, Tanzania kwa upande wa dhahabu ipo juu.

Halafu nyie maskini tunawapa kichwa sana.
Hivi nyie wakenya mnalolote la kujitapa juu ya TZ. Tunawapa only 5 years. Hamna chochote cha kisema juu ya Tz. Kama mafuta tanzania yapo yamejaa. Nyie ni maskini Tanzania ni tajiri. Mnapika data na kutoa za uongo.
safi
 
be updated. Electricity sa ii Kenya ni around 70% coverage. by 2020 itakuwa hatia kama hauna stima kwa nyumba.
we all know that Tanzania is a Very Poor Country
Mkuu fatilia kitu huku TZ kinaitwa REA. Vijij vyote vinakula umeme. Tumeshamaliza first phase tunaenda second phase. Tumeanza mpango wakujenga Hydroelectric dam tukishilikiana na Ethiopia ya 2,100mw almost to all Kenyan grid power of 2,330mw. Kwenye umeme kaa kimia.
 
Nimekuambia leta statistical information wewe inaleta blah blah hapa. Give me the source of your data (Statistical information)
Sasa unakuja na kuimba mapambio nikueleweje?

I'm giving you Kenya power numbers.
World Bank, IMF and the rest are yet to compile statistics.
 
Back
Top Bottom