The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hehehehee wakati huu uzi unaanza mlidhani tunatania, tulikuwa hatusikii habari za kufanya miradi yenu kmy kmy now baada ya kuona sindano zinazidi mnaanza kuongelea mambo ya kmy kmy kwamba cc tumekuwa wageni na tabia za wakunya, jana tu mlevi wenu kapiga picha na Biden mmepost usiku wa saa tisa kwa kihelehele na kupenda sifa za kijinga, eti leo mnafanya miradi kmy kmy iko wapi sasa hyo miradi ya kmy kmy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kumbe wamejisahau, nakwambia watakuja kupatwa na mshtuko wa moyo walai