Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #31,781
Wewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.South Africa yearly gold revenue(largest in Africa,)= $ 4 b
Tanzania 270 containers=over $ 190 b
Ujinga ya kuzaliwa ni real
sent from iPhone 7
Pesa tunadai sisi kinacho kuwasha ni nini!?
Since 1999 wamekuwa wakidanganya na kukwepa kodi. Sasa piga hesabu ni miaka mingapi!?
Halafu usitulinganishe na SA, Tanzania kwa upande wa dhahabu ipo juu.
Halafu nyie maskini tunawapa kichwa sana.
Hivi nyie wakenya mnalolote la kujitapa juu ya TZ. Tunawapa only 5 years. Hamna chochote cha kisema juu ya Tz. Kama mafuta tanzania yapo yamejaa. Nyie ni maskini Tanzania ni tajiri. Mnapika data na kutoa za uongo.