Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ana bifu zake na Magu, wkt mwingine huwa anaongea utumbo kama co msomi, naona mama ameanza kutembea na legacy kwa vitendo, so wale haters wa mzee baba nawapa pole yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
fanya hivi pita pembeni The head of UN Habitat planners wakuu wa sustainable cities! utumbo unaongea wewe! Mkamegeane Sukumaland yani Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu! Msiguse ardhi ya Kagera au Kigoma!
 
Hii kitu




MY TAKE
Aisee, hii haijakaa sawa!
Andamana tu kama vipi or kunywa sumu🤗😂
 
Sisi tz tunataka raisi ndiyo afanye kazi kubwa kuliko yoyote kwa sababu kwa kufanya hivyo anakuwa kielelezo cha uchapa kazi
 
Wewe boya hata ujui nini tunazungumzia muulize Tony akueleweshe naona gundi imekuvuluga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…