Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona wamachinga taratibu wameanza kuvunja vibanda vyao pale kariakoo pasipo shuruti, baba yao hayupo tena, ofcz mm ni mmoja wa watu waliokuwa wanapinga huu upumbavu. Tunajenga infrastructures za gharama kubwa ili miji yetu ipendeze, unajua miji yenye kupendeza co tu inaleta faraja na kuongeza umri wa kuishi lkn pia inapunguza ajali za kizembe, imagine sidewalks zote zina vibanda zen pedestrian wanapita on road ni upumbavu, kwahili nasema hongera Mama kama Mama.
 
Sio kupinga. Nimeuliza swali tu. Hii mindege mnayonunua mnapanga kuyatumia kwenye routes gani? Yaani hata siwaelewi. Anyway yangu macho tu. Tutaona kama hii business strategy yenu itawork.
Nairobi, ndola, Lumbumbashi, kinsasha, kigali na SA. Tayari route za lusaka, harare, entebbe Guanzhou mumbai comoro Bujumbura zina operate
 
Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
Ongea kwa vigezo mkuu. Unafahamu maana ya bilateral agreement on air services between kenya na tz? Kama hujui uka google kidogo
 
Mama anawapiga wamachinga gizani kama co yeye vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
14 trips per week ni nyingi sana. Hio haitowezekana kamwe. Zambia mna trips tatu tu halafu Kenya mnataka kupewa trips 14? Wacheni ulafi.
KQ ilikuwa inakuja Dar 7 times a day kabla Magu hajateremsha idadi ya flights. 14 times a week ni ndogo sana the route is very profitable can be shared equitably between KQ and ATC
 
Mama anapita mule mule alipopita mzee baba, anakwenda kuuwa KQ, mama anatembea na legacy wajinga hawajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…