Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama

Mama kakiri hadharani viatu vya Magu ameshindwa kuvivaa
Porojo za kisiasa,we kwa akili yako mambo aliyofanya mama miezi 6,nani mwingine alifanya?

Pesa ya Covid 1.3 T ya mama tumeambiwa ambacho itafanya,pesa ya Magu ya Covid bil.600 alifanyia nini? Kama unajua tuambie..

Kwa mwendo wa mama atakuwa best president wangu wa pili baada ya Nyerere.
 

Rais alisema wanakusudia kufanya hii tathmni kwenye miradi karibu yote, ukweli ulio wazi ni kwamba upigaji ulikuwa mkubwa Sana awamu iliyopita huku wakijificha kwenye kichaka cha uzalendo na miradi mikubwa.

Ushahidi mdogo ni kwamba haiwezekani bajeti ya kwanza ya mama tena yenye thamani ile ile ikaongezeka mara 2 au zaidi kwa wizara karibu zote na ajira mpya zaidi ya 29,000 na miradi aliyoacha Mwendazake inakwenda kama kawa.Pesa zilikuwa zinaenda wapi?

Ndio maana Assad alifukuzwa kwa kuibua upotevu wa Til.1,pesa ya Covid 19 bil.600 hazina maelezo na upuuzi mwingine kama huo.
 


Mambo mengi yanaweza kuja Pia kutoka kwa Hawa Jamaa Wa Czech.

IMG_1851.jpg
 
Waongopee hao hao,eti kunyaland english medium ni bure,na jamaa zangu ni wamiliki hizo shule TZ,mshahara wa mwl wa kikunya auzidi dola 300 sasa kama huko kwenu dola 300 mtonyo wa pesa ndefu basi poleni sana,halafu hiyo mentality yenu eti walimu wa kikunya wanakuja kufundisha kiingereza ishapitwa na wakati
Bwahaha!!english medium kenya bure mzee, yani huo ndio mtaala wetu nyie kwenu dili..
Alafu shule medium tz zinataka walimu kutoka kenya au wale waliosomea kenya, we utamdanganya nani mzee..
Alafu hyo dola 300 mbona mshahara wa mwalimu wa kawaida hku, hakuna mkenya atakuja hko kufunza kw hyo hela basi labda awe failure
 
so hawa hawahusiki na zinazokuja November.. hawa subcontractor wa contractor Hyundai wale wa mkataba wa pili
sina uhakika aisee unfortunately TRC wako na usiri sijui kwanini? Hiyo locomotive ya kwenye picha inakaa kama order ya kwanza ya end of November ambayo haitakuwa na EMUs!
 
Back
Top Bottom