Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukiwa deep sana.. hayo maneno Dar-Makutopora utapata maana ya kwamba sio kwa hizi zinazokuja November

afu hawa watakuwa ni supplier wa baadhi ya vitu kwenda Hyundai
Issue ni Mkataba wa hizo za November ni nani kapewa? maana locomotive huwa ni vichwa (engine) na kuna kampuni nyingine ya Ki-Korea ilipewa tender ya kutengeneza PAX coaches ambayo ndo ilileta zile za nyekundu MGR Express so kuna confusion hapo! nani alipewa tender ya locomotives za November ukiacha EMUs za Hyundai Rotem? sounds a European company and since Korail was a consultant all along anything can happen though the November order is already in the assembly line...!
 
sina uhakika aisee unfortunately TRC wako na usiri sijui kwanini? Hiyo locomotive ya kwenye picha inakaa kama order ya kwanza ya end of November ambayo haitakuwa na EMUs!
Skoda ni subcontractor wa contract ya pili na inaonekana wata supply components za vichwa na double Dekker trains zoo, has jamaa wake vyema sana kwenye eneo hilo.

Ile picha ni kama illustration tu, Skoda hawana kichwa cha aina ile kwenye product range yao.
 
how dumb...which roads develop perfectly cut out potholes...that road is under maintenance and it's not even southern bypass... don't be mislead, use your eyes...
so when a construction company do this what lies behind as a reason? A pothole/crack ofcourse and what u see there is a process to fill up the pothole!
 
Waongopee hao hao,eti kunyaland english medium ni bure,na jamaa zangu ni wamiliki hizo shule TZ,mshahara wa mwl wa kikunya auzidi dola 300 sasa kama huko kwenu dola 300 mtonyo wa pesa ndefu basi poleni sana,halafu hiyo mentality yenu eti walimu wa kikunya wanakuja kufundisha kiingereza ishapitwa na wakati
Du kichekesho cha mwaka komora096 na English wapi na wapi
 
Ingekua tena..
Alafu kuhusu tz mbona mi pia nikipewa mchongo wa hela ndefu wa private school nije nifunze english medium naja...
Au unajitoa ufahamu km tz shule za english medium dili, utakuta mtu anatoa mtonyo wa maana mtoto wake kusomea hzo shule wakati kenya bure ndio manake mnaleta watoto wenu huku
Mafii ya bata komora096 kufundisha english wapi na wapi labda ufundishe KINGERESAA SIYO ENGLISH mshahara wa tz ni mkubwa sana kuliko kenya kwa sababu ya gharama za maisha tz ni chini mara 3 ya kenya, pia kunakitu kinaitwa nguvu ya manunuzi ,hivyo kunakiji hesabu unatakiwa kukikokotoa kabla ya kusema nchi yako iko na salary kubwa
Mfano ksh1000 ukibadili kuwa tsh21000 inafanya mambo makubwa mara mbili hadi 3 ya mambo ambayo ingefanya kenya ,
 
Bwahaha!!english medium kenya bure mzee, yani huo ndio mtaala wetu nyie kwenu dili..
Alafu shule medium tz zinataka walimu kutoka kenya au wale waliosomea kenya, we utamdanganya nani mzee..
Alafu hyo dola 300 mbona mshahara wa mwalimu wa kawaida hku, hakuna mkenya atakuja hko kufunza kw hyo hela basi labda awe failure
So hili lundo la wakunya wasiojua kiingereza hawajapita hata primary school?
 
JNHPP
IMG_2308.jpg

IMG_2310.jpg

IMG_2311.jpg

IMG_2312.jpg

IMG_2309.jpg
 

Govt to form probe team on cost of Arusha Airport expansion work​


12th October 2021

By Guardian Reporter
Arusha
News
The Guardian

Govt to form probe team on cost of Arusha Airport expansion work

WORKS and Transport minister Prof Makame Mbarawa has said he will form a probe team to satisfy himself on the cost of the expansion work in progress at Arusha Airport.

mbaraawa%20ed.JPG

Prof Makame Mbarawa.

He said this here at the weekend after an inspection tour of infrastructure at the facility, including the apron, runway and vehicle parking lots.

“I have inspected the work going on, but I will send in a team to find out whether the costs you have told me are involved are commensurate with the actual work done,” he noted.

The minister called on workers at the airport to appreciate the importance of the services they render to tourists and other people making use of the facility “in order to attract more people and, thus, realise an increase in much-needed revenues”.

He said the airport comes third in Tanzania after Dar es Salaam’s Julius Nyerere International Airport and Mwanza Airport in terms of revenue generation and the second after JNIA with regard to the frequency and number of flights as well as the number of passenger arrivals and departures, adding: “This is precisely why the government is looking at it very closely”.

According to the airport’s manager, Reston Mtafya, all workers at the facility are “well set with respect to ethical conduct, discipline and innovativeness in fulfilling their duties, with a view to ensuring this result in enhanced productivity and income generation as well as customer satisfaction.”

Prof Mbarawa also inspected a workshop in Arusha run by the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA), calling on the management team to submit to him monthly reports on the volume of work done.

He also demanded that the management make it common procedure to ensure that complaints from customers with regard to the services rendered are dealt with promptly, conclusively and to satisfaction.

“You must submit to me monthly reports showing the amount of money collected and the volume of the services rendered in order for us (ministry) to judge your performance. Anyone failing to perform as required should give way to others,” he added.

 
maneno ya concreat jungle tumewachia eastleigh outside town to compete najua dah haielewi meaning ya green city
eastlee.PNG
 
Back
Top Bottom