Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unajificha kwenye kichaka cha unajua ila hufuatilii [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1967388
Update [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20211007_224652_008.JPG
 
mko na madini kila mahali but your still a shit hole ldc country!!ushawahi jiuliza hizo madini zinaingiaga kwa mfuko wa Nani hama uko tu in love with ndii tweets???[emoji1][emoji1][emoji1]
Na usijiulize mko na GDP ya 100bil population 50mil ila mnakufa njaa ...ivi umesha jiuliza pesa mnazipeleka wapi?
 
Sasa kwa sababu nyie wenye kujua boli mmecharazwa pia, unataka kulazimisha ili tulie sote? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Harambee stars unawajua wewe, mbone hata wameenda ziara huko! [emoji16][emoji16][emoji16]Fanyeni bidii wajuaji! [emoji1787]

Afadhali nyie mko na ushindi, Kenya tunapigwa kama burukenge.,4-0 first half[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom