Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Hujanijibu swali we ndegerešMimi najuwa nikipanda chai hau kahawa hekari moja hapa kiambu niuze, naweza nunua mahindi ya mtanzania hekari kumi na nibaki na hela kwa mfuko.nani mjinga
Hujanijibu swali we ndegerešMimi najuwa nikipanda chai hau kahawa hekari moja hapa kiambu niuze, naweza nunua mahindi ya mtanzania hekari kumi na nibaki na hela kwa mfuko.nani mjinga
Hivi unajua hiyo picha uliyopost hiyo karakana sasa hivi imehama mpya wanajenga ubungo ilipokuwa stendi ya mabasi kabla ya kuhamia mbezi?
Acha uongo, unavyovilazimsha havipo Bongo mzee.. unajifurahisha sana, sio mbaya lakini endeleanani hawajuhi kwa propaganda na unafikišššhuzuri medias zenu hazina influence yoyote hapa africa mashariki
Waulize wakenya walio kuja au kuishi tz watakuambiaZa kwenu ni za kutunga![]()
Nafurahi unatambua Kenya ni failed state ndio maana ukajishtukia kuniquote.Punguza ujinga mzee,,haungeleta hapa hatungejuwa!!! We have won more than expected na haturingiii



š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Hivi unajua hiyo picha uliyopost hiyo karanaka sasa hivi imehama mpya wanajenga ubungo ilipokuwa stendi ya mabasi kabla ya kuhamia mbezi?
Kila ukihamisha goli unakamatwa na wala hujiongezi!
Huyo boya nishamwambia hiyo mada tulimaliza zamani Sanaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Acha uongo, unavyovilazimsha havipo Bongo mzee.. unajifurahisha sana, sio mbaya lakini endelea
Nani hawajuhi kwa unafiki,,,wazee wa kutovaa barakoa Eti inakaa matitišššAcha uongo, unavyovilazimsha havipo Bongo mzee.. unajifurahisha sana, sio mbaya lakini endelea
Mimi chakula cha kenya nakiogopa

Nafurahi unatambua Kenya ni failed state ndio maana ukajishtukia kuniquote.![]()
ššš Ahh kijana wetu tena itabid tumfariji kidogo na yeye tusimwache anisemeshe mwenyewe sanaHuyo boya nishamwambia hiyo mada tulimaliza zamani Sanaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
boya ni weweš¤£š¤£š¤£,,,nowonder your still among poorest Nations on this hearthHuyo boya nishamwambia hiyo mada tulimaliza zamani Sanaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brtMbona picha za Tanzania kwa ground ni mingi tu
View attachment 1966581
View attachment 1966582
View attachment 1966583
View attachment 1966584
View attachment 1966585
View attachment 1966586
View attachment 1966587
View attachment 1966588
View attachment 1966589
View attachment 1966591
View attachment 1966592
View attachment 1966593
View attachment 1966594
View attachment 1966595
Endelea kujifajiri šboya ni weweš¤£š¤£š¤£,,,nowonder your still among poorest Nations on this hearth
Wafukara balaaaš¤£š¤£š¤£Ni kenge na kenge huwa hasikii hadi damu imtoke.![]()
Kamongo anazingua tunamwacha aendelee kujifurahishaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brt
Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brt
Mbona ya kwenu IME kwama ? Tatizo nini?šSengal wameamua kuiga the most efficient brt in africa.View attachment 1966550View attachment 1966555
Kwani ujui tumetofautiana miaka na maeneo tunayo ishi ,tafuta video za maeneo hayo yakivunjwa tz mbona zipo mitandaoni ,ni mabondeniwewe unasema 1998 ,wengine wanasema hapo sio Tanzanianadi rahaa