Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wameenda wapi kwny hizi threads jamani au msimu wa holidays ushaanza?!!! Kule kwny reli at least naweza kuwasamehe maana kuna mwamba mmoja kawapiga combination!!!.
 
Hapa ndio hesabu za Kenya zinapo nipa utata.

Inakuwaje estimate ni ksh 14 Bln ila actual ni Ksh 476 Bln?
How can the estimate be that much off target?

If this is true, uwezo wa hao watu wenye kazi ya ku prepare estimate figures ukoje?

Hii ni sababu sometimes inanifanya niamini Kenya ina suka data.
Estimate ilkua 462 b wakati actual collection ilkua 476 b
 
Wakenya wameenda wapi kwny hizi threads jamani au msimu wa holidays ushaanza?!!! Kule kwny reli at least naweza kuwasamehe maana kuna mwamba mmoja kawapiga combination!!!.
Jamaa kawapiga kipigo kitakatifu kina Kafrican wakaona isiwe tabu wakaleft the thread[emoji3468] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia nani mwenye updates za uhakika kuhusu BRT phase 3 & 4 kwa ajili ya facelift ya city center na corridor zake ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na inshu za kijamii?!Natanguliza shukrani!!!.
 
Sasa mtoto kama huyu atakuwa na akili kweli? Tangu mdogo anakunywa mikojo.

Oneni Onyango makuzi anayopitia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1961410
Hata mm naona kwenyu mko sawa kabisa! 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20211003_192440.jpg

Screenshot_20211003_192427.jpg

Screenshot_20211003_192404.jpg

Screenshot_20211003_192341.jpg

Screenshot_20211003_192314.jpg
 
Jamaa kawapiga kipigo kitakatifu kina Kafrican wakaona isiwe tabu wakaleft the thread[emoji3468] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heeh!!!,Wameleft tena?!!!, Nafikiri sasa kule utakuwa ubao wa kuwaupdate kila hatua tuyasonga pumzi imewaishia majirani kuna msemo mmoja niliwahi kuambiwa na one of my G.O.A.T kwamba "Kutangulia si Kuongoza" nazidi kuyaona!!!!Bado bomba la Mafuta Ghafi!! EACOP!!!
 
Kuna tofauti gani hapa kati ya Tanzania vijijini na Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1633258164118.jpg
image_downloader_1633257568647.jpg
2951274_Screenshot_20211003_192440.jpg
 
Unatafuta picha za vijijini, sasa hiyo c kawaida tu, hayo mazingira ya kijijini uliyoweka hapo ndio mazingira ya sehemu kubwa Nairobi na nimeweka hapa kila mtu kaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
💉 💉💉🌡️☠️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji382] [emoji382][emoji382][emoji2410][emoji3517][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So now it's Tanzania village vs Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unatafuta picha za vijijini, sasa hiyo c kawaida tu, hayo mazingira ya kijijini uliyoweka hapo ndio mazingira ya sehemu kubwa Nairobi na nimeweka hapa kila mtu kaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
From rural to urban, same shit!
Screenshot_20211003_200642.jpg

Screenshot_20211003_200604.jpg
 
Pia nani mwenye updates za uhakika kuhusu BRT phase 3 & 4 kwa ajili ya facelift ya city center na corridor zake ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na inshu za kijamii?!Natanguliza shukrani!!!.
Hamna updates za uhakika boss..tunachojua World Bank is committed to loan us and has aprroved 247 mil usd for phase 3 and 4

Kinachosubiriwa Tanroads atangaze tender nahisi na compesation..tungependa project zifanyike at once ..watafute wakandarasi wa wili tuone mambo ya maana

Nataka nikuchallenge kidogo..Phase 4 itapitaje pale seleender bridge ?? watavunja the existing bridge au wata narrow ..BRT iwe mixed na traffic kutumia existing lanes ?

Screenshot_20211003-201040_Chrome.jpg
Screenshot_20211003-201035_Chrome.jpg
 
Phase 6 will be the most complected BRT to build sio.kwa hyo mitaa inayokatisha..
Screenshot_20211003-203414_Chrome.jpg
 
Kwani wewe ukienda kuonga utumii maji kujisafisha mwili mzima ? Haaa kumbe nilisahau kibera hakuna maji hata ya kuoga wala choo kwa sababu kibera yenyewe ni choo
We unanuka mavi kwa mkono [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo lorry Chini umeweka la nini mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sio lori ni bus la Girl Maria hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom