Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo mtoe siasa hapa mnakera
223.jpeg
Tafakari.jpeg
leafberri-post-2021_06_28_19_57-3.jpeg
machanule_-post-2019_10_17_08_38.jpeg
dreimdigital-post-2021_07_29_08_36.jpeg
dreimdigital-post-2021_07_29_08_36-1.jpeg
collo_situma-photo-2021_09_29_13_14.jpeg
 
Ushashindwa hoja ww tulia hapo uletewe githeri ule.
Githeri ni menu inayotia nguvu ajabu, unaona venye tunapita nao kule ughaibuni. Sasa niambie tungekuwa twala mihogo, kiepe na K-vant, tungewezana kweli!? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Look
For the first time in JF hii neighbourhood haijawahi kuwekwa huku

Kibada Estate, Dar ni bigger and developed 100 times than shithole naipori-slums-everywhere

Kama kunyans mna ubavu, tuleteeni newest estate on jf ambayo hamjawahi kuweka humu battle ianze upya


Looking owsome but comparing it with Nairobi is where you sound "mtu bladifakin",,,if you come here in Eldoret you will find such estate all over but they seems to be just normal investment
 
Try again 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., pumzika kaka, jipe shughli tu., hautopata.
Haaa pole yako Kigamboni mradi wake unaendelea mpk sasa kushajengwa nyumba 100000+ na bado zinaendelea kujengwa utasema hilo eneo dogo?
 
Haaa pole yako Kigamboni mradi wake unaendelea mpk sasa kushajengwa nyumba 100000+ na bado zinaendelea kujengwa utasema hilo eneo dogo?
evidence., mlisema nyie maneno bila picha ama video nikama kuvaa dera bila tako 😂 😂 😂 😂
 
evidence., mlisema nyie maneno bila picha ama video nikama kuvaa dera bila tako 😂 😂 😂 😂
Kazame uingie uone mbn ht magazeti yenu yanaandika habari zetu?
Au ktk mambo ya maana hamletagi umbea.?
 
Kazame uingie uone mbn ht magazeti yenu yanaandika habari zetu?
Au ktk mambo ya maana hamletagi umbea.?
Nilijua umeleta domo domo kama wenzako, walijaribu waka fyata 😂 😂 😂 😂
 
Hahaha nimemuambia alete estate ambayo haijawahi kuingia jf kaniletea zile za udongo [emoji28][emoji28][emoji28]
Tulishawahi kuwaambia humu kuwa kuna sehemu kibao za Dar Es Salaam hazijapostiwa humu wakadhani tunatania.
 
umechelewa sana 😂 😂 😂, refer back, ukubwa wa Dar tunajua uko wapi, sio developed area.., so tulia.., udongo na idadi ya watu, matokeo, makazi ya kishamba kutapakaa kwa ukubwa wake..,
View attachment 1958156
Hivi umeshuka chini ya hayo maeneo ukatizama nyumba zilizojengwa?
Tunakubali mitaa mingi hiyo sehem haijajipanga ila je umeona nyumba zilizojengwa hapo chini?
 
Hiyo ni kawaida.
Tupime mafanikio ambayo timu zenu za mpira zimepata na timu zetu za mpira zimepata.
Kama tu msimu wa ligi unaisha huko kwao halafu msimu mpya unaanza bado mshindi wa msimu uliopita anadai zawadi...halafu unategemea ajadili mpira wa miguu.

Hivi uliona medali wanazopewa [emoji23][emoji23][emoji23]

Farmers league.
 
Back
Top Bottom