Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hawatoenda motoni labda politicians [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Contractors huwa wanakula pesa za bure Kenya, hawamalizi miradi wanaacha ng'ombe zielee juu ya vumbi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha ndani ya Nairobi, kila mtu mwizi, wasukuma toroli wapo mpk CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna yule mbwa alisema ametuma mtu wake aje Dar apige picha chakushangaza mtu mwenyewe ameamua kubaki Dar mana amegundua ni kama peponi kuliko kurudi jehanam ndogo ya duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Battle iendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbwa kama mbwa [emoji190][emoji190][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji240][emoji117][emoji1241][emoji91]
 
Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
 
You try to show yourself as someone who likes to respect other people’s opinions, but you still won’t respect my opinions. What are you? A hypocrite!
 
Umeona jinsi ulivyokosa nidhamu? Hivi ndivyo msomi anapaswa kuwa? Dah mkuu kama kweli umesoma basi utakuwa mtu mzima sn wewe mana hii elimu yako ni ya zamani mno.
 
Ninasema kuwa elimu yangu ni ya juu kwasababu kwanza nimeipata kutoka kwenye world-renowned universities. Two Ivy league institutions and one top European university. Na hapo sijaongeza vyuo nilivyosoma as part of my study abroad pursuits. Na pia Nimefanya kazi kwenye faculty zilizobobea kwenye filed zao duniani. Haijalishi niseme nilisomea kitu gani chuoni, that alone makes my education of a better quality than yours will ever be. Lakini lengo langu si kufanya comparison ya elimu yangu na yako, even though unanilazimisha nifanye comparison.
 
You mean Mark Zuckerberg? World-renowned innovators ambao hawakwenda shule wanatumia talents za watu walioenda shule ku-transform ndoto zao into reality. Elimu siku zote haijawahi kupoteza umuhimu. As I stated before, I did not mean to be arrogant when I made that statement. I only wanted to establish a point that a the lack of a high quality education in Tanzania is the real reason why mass manipulation of political thought exists.
 
Umeona jinsi ulivyokosa nidhamu? Hivi ndivyo msomi anapaswa kuwa? Dah mkuu kama kweli umesoma basi utakuwa mtu mzima sn wewe mana hii elimu yako ni ya zamani mno.
Nidhamu gani nimekosa? This isn’t blasphemy, it’s just the truth. Wewe umeshawahi kumuona Yesu? Hebu Niambie ulimuona lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…