Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
ule mwenge utawaka?Jana nilikua hiyo mitaa hapako hiv now, pameshakamilika bado kuwekwa lami tu tena usishangangae November tu watu wakaanza kutumia hiyo barabara, tabaka la kwanza la lami nimeshawekwa+taa ndio wanamalizia kuweka, walk walys zilishakamilika, ule mwenge wa uhuru kwenye nguzo ndefu zaidi unakaribia kuisha ujenzi wake, wakenya wakae mao wa kula tu kwa usumbufu tutakao wapa kwa hii barabara, soon ikifunguliwa
Even before Magufuli's presidency you were dying of hunger and starvation, don't use Magufuli's death to legitimize your stupidityDon't switch sides. Magufuli is dead and he ruined Tanzania with propaganda. Talk about that.
Hapo ni Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapa pamechoka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., rekebisha Dar..., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikarus.....Made in HungaryDar ilikuwa na BRT kitambo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Courtesy: babayao255
View attachment 1954132
Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And I’m being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.
Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.
Kutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.
Nairobi metro imesambaaa kila eneo sio kama dar imezibwa na Indian Ocean pande moja.View attachment 1955925
😃😃😃😃😃😃Hapo ni Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti mtu anajinasibu kabisa kasoma alafu bila aibu anasema CCM imemuibia kura Chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unajimwambafai kuhusu elimu ilhali hina akili.
Hakuna wizi wa kura Tanzania. Hizi ni kelele za vyama vya upinzani kujifanya kuonewa wakati uhalisia ni kuwa, havikubaliki na hakuna mbadala wa CCM.
Chadema ni mjini tu. Chama leo wanasema hivi, kesho vile. Chama dakika za mwisho za uchaguzi wanachukua rejects za CCM na kuwapa nafasi kubwa ndani ya chama bila kuwatambua na kuwafanya wagombea wao wa urais. Watu walioo waaminisha Watanzania kuwa ni mafisadi.
Hakuna vyama vya upinzani Tanzania zaidi ya wahuni.
Huko ndiko kuelimika kwenyewe, heri sisi ambao hatukuenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mtu anajinasibu kabisa kasoma alafu bila aibu anasema CCM imemuibia kura Chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
itakua pwani., Mombasa ni mamake Dar, alizaa photocopy yake 😂 😂 pia zile nyumba zenu za Kiswahili, zinafanana 😂 😂 , ila mwanawe ambaye ni Dar kanona mashavu, liko wazi kabisa, heshimu mama ya Dar(Mombasa) 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hapo ni Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitaka kujua kwamba Tanzania hakuna strong opposition angalia kwenye nafasi za juu za hivyo vyama kuna watu wa aina gani.Wewe unajimwambafai kuhusu elimu ilhali hina akili.
Hakuna wizi wa kura Tanzania. Hizi ni kelele za vyama vya upinzani kujifanya kuonewa wakati uhalisia ni kuwa, havikubaliki na hakuna mbadala wa CCM.
Chadema ni mjini tu. Chama leo wanasema hivi, kesho vile. Chama dakika za mwisho za uchaguzi wanachukua rejects za CCM na kuwapa nafasi kubwa ndani ya chama bila kuwatambua na kuwafanya wagombea wao wa urais. Watu walioo waaminisha Watanzania kuwa ni mafisadi.
Hakuna vyama vya upinzani Tanzania zaidi ya wahuni.
Hapo ni Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo nanyi sawa na USA? Juzi petrol na diesel vimepanda kidogo kelele kuanzia kariobangi mpaka kisumu,acha hizo ,wananchi wa kawaida wanaumia.most developed countries have toll roads, i dont think someone from a lower income country ataelewa this things. its like trying to explain to someone amezoea free to air TV that in mordern countries people pay to watch TV atashangaa sana (cable tv)
Most Expensive Toll Roads in the USA
- Whiteface Mountain Memorial Highway in New York - $1.25 per mile.
- 17 Mile Drive in California - $0.59 per mile.
- Chicago Skyway in Illinois - $0.51 per mile.
- Fort Bend Parkway in Texas - $0.51 per mile.
- Delaware Turnpike in Delaware - $0.29 per mile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko ndiko kuelimika kwenyewe, heri sisi ambao hatukuenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uongo? Au wewe ndio huwa unabeba mimba badala ya Mkeo?Wale flowers wa mama wakiongozwa na Geza mripoti kwenye hii tweet mkamuokoe shoga enu wajuba wanamsulubu 😁😁😁