Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
***** ni aliyekuzaa mbwa wa kienyeji ..endelea na ligi si umesema nakuogopa?Afu we ***** tuheshimiane, hii thread unaiharibu kwa usenge wako afu moods wanakuangalia tu, hivi vinuka mkojo vilivyoingia jf kwa free WiFi za kwenye restaurants vina ondoa heshima ya hii forum
Mpera mpera unalilia mods kama mvaa Dela? 😃😃 ,We ni jike dhaifu kabisaDawa ya moto ni moto mamaee, hawa matutusa ni kwenda nayo mpera mpera mwendo wa mateka mpaka yafutike thread irudi kwenye heshima yake!
Nipo na nyie Bega kwa Bega kmnyokoo ninyi
Acha uongo utalii ajaua mwendazake ni uviko 19 ndio iliifunga dunia kutembeaThen ukaua utalii unaotuingizia 17% ya GDP yetu sio? Corona imeanza baada ya Samia kuingia madarakani? Mbona asitoe relief tangu akiwepo?
Mmeshapapasana na shoga ako Geza?Mpera mpera unalilia mods kama mvaa Dela? 😃😃 ,We ni jike dhaifu kabisa
Tunapapasa mtaro wakoMmeshapapasana na shoga ako Geza?
Wewe ujui kitu jamaa yangu unapayuka sanait takes more than buying jets! Mama knows what tourism promotion is! Yule alikuwa fundi mjenzi ila kwenye biashara haikuwa field yake! So endeleeni kumponda mama humu na mimi naponda kule! It takes the whole package AND NOT mihemko! From $2.5 bln before to around $500 mln 2020 and yet tozo zilibaki! Yaani kama si soko la dhahabu kupanda sijui tungekuwa wapi!
Simba mwenda pole ndiye mla nyama Haya mazingumzo ndio yaliwanyang'anya bombaMazungumzo mazungumzo mazungumzo.
Umchukie marehemu utakuwa timamu wewemko biased na hamko measured wanazengo miezi sita mnapiga kelele ni kama kuna ulaji mama kawakatia! I can't accept that mnanifanya nimchukie mnavyozidi kumshupalia mama!
Delila ndiyo sababuAir Tanzania haiendi tena Chato kulikoni? Si alijenga mahoteli kule na kujenga ferry? Na kuanzisha Chato-Burigi?
Licha ya kutaka huu uzi usiwe wa siasa ila ukweli ni kwamba hawa makahaba wawili geza na Opportunity ndiyo tatizo naona hata nyinyi sasa mmeanza kuingia kwenye malumbanochuki zisizo na msingi wowote.. wacha niwaache niendelee kusoma comments tu[emoji23]
Kuna tatizo lilitokea mwaka Jana la maji kuibuka toka chini kama chem chem wakasitisha kwa uchunguziIlivyokaa tu, ujenzi umesimama..!
Tatizo ni raisi SSH,,, raisi goigoi huzaa serikali goigoiBora hata slaa! Kuna watu wamelala huko ubalozini...
Swedish firm plans major revolution in public transit
As efforts to streamline public transport services through digitalisation gather momentum worldwide, a Swedish company has entered the Tanzanian market to facilitate modern public transit.www.thecitizen.co.tz
Natamani..Pssf wajenge vingine tena..hata Nssf wajiunge nao..tunahitaji viwanda vingi na ajira nying sana kuna sector nying bado ..kuliko kujenga majengo as you sayView attachment 1951080View attachment 1951079
View attachment 1951097
chongchung quality hii si ya kispoti spoti, hapo kuna mlolongo mrefu sana wa ajira na uchumi. Maghorofa yanapendeza ila yawe yana akisi uchumi halisi.
Mamako niko nae upande wa kulia na babako upande wa kushoto wapo kwenye hekaheka na mshedede, wewe nimekupiga stop sababu unanuka mnoMama yako ameshanishobokea inatosha,wewe utashobokewa na baba yako aliyekufundisha ushoga
nangoja Manara aendelee kupiga kelele!
Hao wanaosema hivyo si mashoga kwao biashara ni kuuza ngandu tu na madawa ya kulevya basiEti alafu bado kuna mtu anasema alikuaa ana mawazo ya kibishara
HAPO KWENYE KUJENGA KUTA WAJENGE KUTA ZENYE KUZINGATIA USASA YANI ZENYE KUPENDEZA NA KURUHUSU HEWA KUPITAI hate walls, nlikuwa very much disappointmented na ule ukuta pale udsm
Hivyo ndiyo vitu viwili vilivyo mchafua hata mama CHUKI KWA JPM NA UNAFIKI WA KIFISADIJamaa huyo ni mbaguzi alafu anachuki zisizokua na sababuu mtu utasemajee jpm alikuaa ana mawazo ya kibishara wakati kila kona alikuaanaboresha miuondombinu ili kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
Kazi nzuri ya mzarendo no 1 na askari wa mwamvuli no 1That Ocean Drive, that beautiful and the longest bridge in East and Central Africa Tanzanite bridge is almost done ,
Rekodi ya hili daraja itavunjwa miaka miwili ijayo na Kigongo-Busisi Bridge in Mwanza.. of course Money talks . View attachment 1950840
View attachment 1950842
View attachment 1950843
View attachment 1950843