stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,435
- 40,860
😂😂 wazo zuri, apo wageni si wanancheza alafu wanalipwa 😂😂😂😂Vipi tumwambie Mkwe hapo pia Simba na Yanga zije kukiwasha Derby ya Ugenini?
Maana uwanja huo mmejenga kwa ajili ya wageni. Players wenu hapo wamezoea viwanja vile kama zizi la ng'ombe....