Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,782
ndio najua ila naongelea taking recovery measures tangu mwaka jana watu wa utalii unaochangia 17% ya pato la Taifa waliomba punguzo la tozo! Jamaa akawa kimya! Yaani kama si kupanda bei ya dhahabu tungekuwa pabaya sana! ndo maana nasema kila mtu ana mazuri yake na biashara was not his strength! Yeye alikuwa mtu wa ujenzi tu! Na mama analeta sura nyingine ambayo inadharaulika sasa ila ina future nzuri kwetu ukichanganya na alichofanya marehemu! Ile miradi inahitaji usimamizi wenye ufanisi, kuanzia uendeshaji wa reli na Air Tanzania! That's my opinion and ask any economist will tell u the same!Mara hii umesahau corona ilivyoharibu utalii duniani kote, tena huwa unaipigia chapuo "chanjo" kila siku hapa?
Kamchukue babako Migomigo!😂😂😂😂😂 Duh aisee nakuonea hata huruma masikini wa Samia 😂😂😂
Mbona unazaraulika hivi kama dekio la gesti kisa chuki binafsi mzee wangu? 😁
Acha nikwambie kitu, mimi wala sitoki huko kanda ya ziwa kabisa hata ukifatilia comments zangu nyuma, ila kuna kitu tu lazima uwe kichaa ndio ukiongee, hakuna mtu alikua mpinzani mkubwa wa magu kama mimi ila ni zombie tu atadharau mchango wake kwenye hili Taifa, ni pungapunguani kama wewe utambeza yule jamaaKamchukue babako Migomigo!
Mtoto (fetus) anapokuwa tumboni mwa mama yake, organ ya kwanza kabisa kujengwa katika kile kipindi cha rapid cell division (mitosis) ni moyo. Kazi kubwa ya moyo ni usafirishaji wa damu ambayo inabeba virutubisho, taka na hewa. Bila ya kuwa na mfumo bora wa usafirishaji, mifumo mingine yote haiwezi kufanya kazi.Jamaa huyo ni mbaguzi alafu anachuki zisizokua na sababuu mtu utasemajee jpm alikuaa ana mawazo ya kibishara wakati kila kona alikuaanaboresha miuondombinu ili kutengeneza mazingira mazuri ya biashara
noma sana hatarThat Ocean Drive, that beautiful and the longest bridge in East and Central Africa Tanzanite bridge is almost done ,
Rekodi ya hili daraja itavunjwa miaka miwili ijayo na Kigongo-Busisi Bridge in Mwanza.. of course Money talks . View attachment 1950840
View attachment 1950842
View attachment 1950843
View attachment 1950843
Suala ya Corona lilikuwa na siasa nyingi sana (mpaka sasa), katika nchi ambazo watalii wetu wengi wanatoka. Isingekuwa rahisi kuwashawishi watalii kuja, wakati nchi yetu ilichukua mtazamo tofauti wa kuikabili Corona. Ndiyo maana Zanzibar waliamua kuwashawishi warusi, hawa hawakuwa na agenda za kisiasa kwenye Corona.ndio najua ila naongelea taking recovery measures tangu mwaka jana watu wa utalii unaochangia 17% ya pato la Taifa waliomba punguzo la tozo! Jamaa akawa kimya!
Kama isingekuwa sera zake ya maliasili, hata huko kupanda kwa bei kusinge tufaidisha.Yaani kama si kupanda bei ya dhahabu tungekuwa pabaya sana! ndo maana nasema kila mtu ana mazuri yake na biashara was not his strength!
Unamaana gani kusema mtu wa ujenzi tuu?Yeye alikuwa mtu wa ujenzi tu!
Ni sura gani hiyo anayoleta mama? Ni nchi gani kubwa zilizoendelea zilifanya hivyo kabla ya kujenga miundombinu dhabiti?Na mama analeta sura nyingine ambayo inadharaulika sasa ila ina future nzuri kwetu ukichanganya na alichofanya marehemu! Ile miradi inahitaji usimamizi wenye ufanisi, kuanzia uendeshaji wa reli na Air Tanzania! That's my opinion and ask any economist will tell u the same!
shika adabu yako! kama una-idolize JPM ni tatizo lako! takataka babako!Wakuu what if tukiamua kupotezea chochote kinachopostiwa na hizi takataka mbili zinaitwa [mention]Geza Ulole [/mention] na [mention]Opportunity Cost [/mention] so that we move on with the battle.
Zinaharibu uzi wetu pendwa, we have a lot yet to showcase to the small minded hunger infested Kunyans
Hata kama unamchukia JPM but we made most revenues during his time..did he kill Conference tourism we all dont know..yeye alipunguza country spending kwenye conferences za ndani....did that really kill tourism. we should depend on external conferences any way...Twende before corona when tourism was flying in tz utuuulezeee jinsi alivyokua anaua utalii usitafute pakutokea hapa na na pia utuulezee miundombinu kama bandari na reli ambazo jpm alikua akizijenga zilikua za kazi gani kwasababu wewe unasema alikua ana fikra za kibiashara
Kila ukigeuka siasa Tu! mpaka inakua boring🙄🙄🙄kabisa ni wakuwapuuza hao
Kwn uongo km madeni yenu mengi ni ya nje, au hii nayo unasema uongoUnapingana na takwimu au unaleta ligi tuu bila facts as usual.
Ukiona nchi haiwezi kujimudu kimikopo(internal) unahitaji utafakari sanaSasa nyie kumbe mnachukua mikopo ya ndani kulipa external debts.
Mpaka vinjia vya farms unapost, nikipost ya serengeti si utaanza kulialia hapa km mbwa kahabahehee
Namsifia ila at the same time siwezi nikanyamaza Chatogang wakimvuruga mama humu ndani!Hata kama unamchukia JPM but we made most revenues during his time..did he kill Conference tourism we all dont know..yeye alipunguza country spending kwenye conferences za ndani....did that really kill tourism. we should depend on external conferences any way...
Hamna haja ya kumkandia either of our presidents wote wataleta effects..ila ni kawaida binadamu kusahau
this was meant for Geza Ulole ..usisahau haraka wakati wewe mwenyewe Magu ulikuwa unamsifia
Sheria gani unazozijua wewe? Sheria ya procurement inaruhusu single source procurement with justification. Justification zipo tele tuu kwa Yapi Merkez kuendelea na lots 3 & 4. Some of the justifications to mention only a few:wacha upotoshaji wa kikenge! sheria lazma isimamiwe! Mchina ndo katunga procurement laws Tanzania? Huyu Masanja anapaswa kuondolewa pale TRC nadhani anafikiri project za TRC za babake! Yaani CEO mzima hana respect of procurement laws? Yale madudu ya kujiuzia nyumba za railways na nduguze na kupewa fidia mara kumi bado anaendeleza!
Fence mambo ya kishamba na ya kizamani unaogopa eneo kuvamiwa? kwani tunalipa watu mishahara manispaa wafanye kazi gani kama sio kusimamia sheria za mipango miji.kwahiyo unataka watu wavamie hilo eneo halafu tuwalipe tena fidia?
Swali: Ubungo EPZ ina fence au haina?
ukisoma the citizen kuna vipengele vimekuwa quoted! Take ur time n read!Sheria gani unazozijua wewe? Sheria ya procurement inaruhusu single source procurement with justification. Justification zipo tele tuu kwa Yapi Merkez kuendelea na lots 3 & 4. Some of the justifications to mention only a few:
1. Less mobilisation period
2. Maintenance of the same standard and quality over the entire strech of the line.
3. Cheaper Maintenance cost in the future cause the equipment and systems are similar.
4. They have boyond doubt demonstrated their ability to undertake such projects to customer satisfaction.
5. Avoidance of tender qualification issues
6. And many more
Ule ukuta umeharibu mandhari yote pale we need to changeI hate walls, nlikuwa very much disappointmented na ule ukuta pale udsm