Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumeingia uchumi wa kati chini ya magufuli bila ya tozo ushuzi wa bata za mama lako
Uchumi wa Kati tuko tangu enzi za mkwere,probation period ndio ilianguka kwa Mwendazake wewe fala..

Uchumi wa Kati ndio unaleta pesa kwa watu na Serikali?
 
Tatizo ni wewe kuliwa Tigo [emoji867][emoji867]
Halafu acheni matusi aisee, watu mnaotukana na id mmeficha thats fear, mtu strong huwa hafanyi vitu vya kidhaifu km hv, jitahidini kuwa strong kwenye mioyo yenu, inapobidi kutukana uweke neno la hekima. Ni hivyo tu.
 
Samia Kitendo cha miezi mi3 tu alishachukulia Zanzibar billion 400 tayari, hivi hii Chato inayosulubiwa sidhani hata ina uwekezaji wa billion 200 toka Magufuli awe Rais

Ila hapa hutosikia Samia akilaumiwa kwamba yeye ni mkanda au anapendelea kwao


Ni mkopo kwa Zanzibar sio kodi zetu zilizokuwa zinatumiwa vibaya kule Chato
 
Tanesco km wanaingiza 1 trilion basi hawapaswi kuwa na vijengo vya kizamani, hv kuna watu lazima miaka hiyo ka arusha kalivokuwa ka kijiji watakuwa walihoji mbona mnajenga majengo ya gharama hv? lkn leo majengo hayohayo yanafanya kaskazini imepata city, tatizo watu hamuwazi kisa ni eneo la nyumbani mnaona km anapendelea, mnafikiri hiyo SGR itakuwa inabeba nn km sio bidhaa km hizo na wateja? lazima kuwe na city maeneo hayo. Halafu sometimes kuna vitu vya kufosi ili eneo liendelee, niwaulize je, hilo jengo la floor 70 litakalo jengwa zbar, tuseme lisijengwe huko ila lije lijengwe dar maana kuna uhakika huku? Hapo tunatakiwa kutafuta plan alitaka kufanya nn cha maana? na km hamna? tu add plan zetu hapo lazima kitakuwa na positive idea, msiingize mawazo hasi kwa kila jambo eti alijenga kwao, kwani we umejenga wapi? mnabahati mi sio raisi nachukia sana kudeal na negative ideas kila mahali, ni ajabu sana kuona mtu unatafuta negative tuu, badala ya kuadd positive things on it because vipo tu kaeni mtafakari vipo, kuna vitu vinafanywa sio kwasababu eneo hilo linavihitaji no, ila ni kwasababu ya kuvivuta vingine, nikupe mfano, sehemu zote zilimo jengwa Sgr stations, kuna mahali jengo hilo la sgr ni gharama kubwa kuliko jumla ya watu kadhaa, ss hatukujenga eti kwa sababu sgr imepita, ila kwasababu ya kuvutiavmaendeleo ktk eneo hilo, Jengo la floor 70 zbar linajengwa sio kwasababu zbar inataka jengo hilo ila ni kwasababu likiwepo jengo hilo basi haya ya floor 50, 35 nk yatakuja tu, mmenielewa?
wacha upuuzi jengo la Zanzibar mwekezaji binafsi anajenga! Tanesco haipaswi kuwekezwa kwenye majengo bali miundombinu bora ya kusambaza umeme kuondoa kukatikakatika kwa umeme!
 
Halafu acheni matusi aisee, watu mnaotukana na id mmeficha thats fear, mtu strong huwa hafanyi vitu vya kidhaifu km hv, jitahidini kuwa strong kwenye mioyo yenu, inapobidi kutukana uweke neno la hekima. Ni hivyo tu.
Usiingilie ugomvi usiokihusu,fanya yako
 
Kufa kwa Magu ni mwili tu ila kilichokua ndani yake kitahamia kwa mwingine na atakua zaidi yake kama yeye mwenyewe alivyomkamilisha Nyerere kimatendo. Na ombeni anaekuja asiwe mjeda maana patachimbika
Kwa nini awe mwingine usiwe wewe unaemshabikia na kujifanya una uchungu? Acha kuwa nyumbu wewe mjinga
 
🇰🇪
13083295_2398924elichep202005142_jpegfd471b4af2d097a5f7e872d58da3cc7d.jpeg

13095212_14519133115668413901828643624699530785053608n_jpeg2848236019438920dc6082cee7e2d7e9.jpeg

13127557_717563731333037b2028b_jpegf165dff6980acbdd7bf789da94a50f35.jpeg

13127530_7743715966353d6f3564b_jpge550cd42a93a89cc04f6f8a5ea79e056.jpeg

13147487_efsbrdjwkaiesm_jfif_jpegf3e80fa164e51c3371933fefde151c87.jpeg

13147469_ngong_jfif_jpege9915dc607cc42611cad23e35fb14262.jpeg

13147388_langata2_jfif_jpeg13f338c12a3c4556309c48d16b472b46.jpeg

13159731_tapatalk1613644468374_jpeg_jpeg35555f4fc1c746d202145f694cdee451.jpeg

13221053_img20210304230438_jpeg01ffb9bf7901f9de6ac6bcbb5a4b272a.jpeg

13221046_img20210304230050_jpeg5cc0395f4b79807deb14712ea6b7325a.jpeg

13363962_img20210407131750_jpegc11a62cbb5c0f1025db929b6dbc1da6f.jpeg

13363926_img20210407130829_jpeg7a542ba8aadac799f59c60b8e68eaffb.jpeg

13368784_sightseeingbuy1_jpeg7c2be262a1739b5b605d5052a151a579.jpeg

13368492_20_jpeg3cac50b8521ddc22bcf9624ec7ee5693.jpeg

13368487_img20180109173121_jpegfe06c460f8df255db838c84168bb219a.jpeg

13426327_12582377msardnamangardinterchangejpegjpeg0a13eaf0ac01d7efdcbc4bfa1bb6a94c_jpeg_jpegc...jpeg

13426328_47fornairobi202011272_jpeg1a54512cb5042546fbb9b5595ad05d56.jpeg

13426270_9773884tapatalk1562002211512jpegjpegf80517428547466d3d8e69d87c1fda79_jpeg_jpeg43297b...jpeg

13426181_img20201201090331_jpeg3296c1b7df612c878f2eb65008b349d7.jpeg

13426208_tapatalk1606120206444_jpeg_jpeg32baf1dd57db322a560855d6e20a54e7.jpeg

13426105_1755899051265638828562247061667779759570913n_jpegfa02880ed61e44a16b089b6a9743b595.jpeg

13439742_13121955img20210210114314jpeg82a551e7fd847c95f90fef07f372a4c7_jpeg_jpeg7633d1bad8747...jpeg

13439657_1299061811906219img20200414200612jpeg79b301c020c223fd17a764cc49dfc913jpegjpeg1c0af9a...jpeg

13448141_9445789img20190515214417jpegbc957f5484f111c6ae46deeefa84415f_jpeg_jpegeded09ce16f49a...jpeg

IMG_20210921_144549.jpg

IMG_20210921_144605.jpg

IMG_20210921_144618.jpg
 
Hio miradi yote ilikuwepo kwa taarifa yako na huo mradi wa maji Dodoma magufuli alishaizungumzia sana mradi wa zuzu Dodoma kama ulikua huna taarifa na feasibility study ulifanyika kwenye awamu yake yani miradi yote hii ni ya mzee mama anatekeleza tu hakuna jipya nikupe taarifa fupi 😁😁😁😁😁😁😁😁

Unataka siasa alaf unapanic nn banana😆😆😆
Kuzungumza hata Mwl Nyerere alizungumza, swali ni alitoa budget yake?
 
Kwa nini awe mwingine usiwe wewe unaemshabikia na kujifanya una uchungu? Acha kuwa nyumbu wewe mjinga
Mafisadi yatakukuruka wee ila definition ya utanzania aliisimika mzee baba mwenyewe Nyerere, kila mnapoibuka anatokea mbabe wenu zaidi ya mliedili nae
 
Mafisadi yatakukuruka wee ila definition ya utanzania aliisimika mzee baba mwenyewe Nyerere, kila mnapoibuka anatokea mbabe wenu zaidi ya mliedili nae
😆😆💉💉 Mtaweweseka Sana team Legacy, Kazi ya mafisadi ni hii hapa 👇

Screenshot_20210921-145003.png


Screenshot_20210921-145024.png


Screenshot_20210920-073315.png


Screenshot_20210920-073250.png


Screenshot_20210920-072100.png


Screenshot_20210920-071214.png
 
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.

Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.

Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku 👇🏿👇🏿👇🏿
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.

Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.

Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku 👇🏿👇🏿👇🏿
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.

Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.

Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku 👇🏿👇🏿👇🏿
imekaa poa mkuu,tupia link
Link hii hapa..., itapendeza kama changamoto na mapungufu tutakua tuna-address huku.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Story of Change - Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo? Story of Change - Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo?
 
Aache kuweka mikono mabegani kwa wanawake ni sexual harassment tena kipindi cha corona! Si adabu kama kiongozi! Ni kituko! Protocols lazma zizingatiwe! Mabalozi ni wawakilishi wa marais au ma-waziri wakuu wao au mkuu wa serikali wakuu wao! Etiquette and rapport ni vigezo na masharti ya kuzingatiwa!
 
Back
Top Bottom