Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si ukabila, uchoyo, tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?

Sikatai kuwa nae kama binaadamu alipata kasoro zake hususani swala la kuifanya chato mkoa. Shida ni kufumba macho na kupotosha mfano msemo wako wa mama katoa hela as if Magu alikua kaishia hapo wakati hadi plan unaijua na yeye mwenye kuimba kuifanya Dodoma kama Ulaya
 
Gezaulole haumpendi Magufuli wewe peke yako humu lakini unalazimika kutengeneza ids nyingi ili muonekane wengi, haisaidii buana tayari keshazikwa na msiba wake uliipa taarifa dunia kwamba alipendwa kiasi gani

Legacy yake sio ya kuisha leo wala kesho ni ya ages, utakufa utaiacha na watakufa uliowaacha na wataiacha!
 
Kwan hujui kama uwekezaji ulipungua baada ya corona kuibuka na sasa hvi ugonjwa ushakua wa wakawaida ndio maana sahii mambo yanarudi kama awali au Hilo geni kwako😁😁😁😁 yani kwa sababu unachuki ndio ubadilishe kizuri kiwe kibaya, yapo mazuri mengi aliyafanya hayati ambayo Leo hii yasingefanyika kamwe kenge wewe
Corona imeisha? Excuses za kijinga baada ya mtu wenu kufeli vibaya..

Hii hapa 7@% growth aliyokuwa anawaambia yule dhalimu 😁😁😁

Screenshot_20210921-125916.png
 
Wilaya ambayo inakadiria kua na watu 500k kwann isiwe na hadhi ya kua mkoa au kwa sababu unachuki nae ndio kila kitu kibaya kwako punguza mihemko isiokua na tija 😆😆😆😆 nenda kavute zile bangi za chooni alaf uje
Inakadiriwa na genge la Chato au? 😁😁
 
Kwenda huko we kenge jitu liliharibu bei za Mazao ya kilimo afu unaropoka hapa? Pumbavu

Soma hiyo 👇

View attachment 1947039
Uhehehe FDI toka kipindi Cha magufuli ilikua inaongiza east Africa kama ulikua hujui na hio nitaarifa fupi na kupa ww pimbi, na chuki zako hazibadilishi kua kama isingekua akili ya magufuli juu ya corona Tanzania ingekua sawa na kenya Leo hii
 
Inaongoza kwenye midomo yenu? Weka data tuone..

Sasa tunalinganisha miezi 5 na miaka 6 ya Mwendazake,mama sio mchunga ng'ombe kama yule mtu wenu mshamba asiyejua uchumi.
 
Inaongoza kwenye midomo yenu? Weka data tuone..

Sasa tunalinganisha miezi 5 na miaka 6 ya Mwendazake,mama sio mchunga ng'ombe kama yule mtu wenu mshamba asiyejua uchumi.
Ukwekwekwekwe kwa sababu unachuki zako ndio ubadilishe ukweli kua uongo 😁😁😁 mama alishakuta mazingira mazuri sana na hana Cha kufanya kwa sasa zaidi ya kuendeleza miradi ile ile na hatua zile zile hata ukikasirika vumilia tu ndio haki ilivo
 
Aliletwa na mama ???? Aliemshawishi ni diamond pamoja na lil ommy bila kumsahau hamisa mobeto😁😁😁😁 Leo naona umeyabananga 😆😆😆😆😆 tulia urambe dawa sasa

Unadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
 
Unadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
Uhhehehehehhehehehehhehehehehheheheheheheh dawaaaaaaa imeingia sehemu stahiki 😆😆
Unadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
Ameletwa na mama ??? Yeye mwenyewe kwenye interview ansema mpango wakuja Tanzania ulikuwepo kipindi wanatoa nyimbo na diamond 😆😆😆😆😆
 
Ameletwa na mama ??? Yeye mwenyewe kwenye interview ansema mpango wakuja Tanzania ulikuwepo kipindi wanatoa nyimbo na diamond 😆😆😆😆😆
Ulikuwepo yes ila kuja kunategemea mazingira..Alete pesa kipindi Cha Magu anaumwa? Aje kuporwa?

Kwanza bil.600 za covid mlizokopa na misaada mlipeleka wapi? Pumbavu nyie
 
Ulikuwepo yes ila kuja kunategemea mazingira..Alete pesa kipindi Cha Magu anaumwa? Aje kuporwa?

Kwanza bil.600 za covid mlizokopa na misaada mlipeleka wapi? Pumbavu nyie
Na corona je ??? 😆😆😆😆 Au umesahau corona Ina miaka miwili sasa hvi ushaanza kupanic sasa
 
Sikatai kuwa nae kama binaadamu alipata kasoro zake hususani swala la kuifanya chato mkoa. Shida ni kufumba macho na kupotosha mfano msemo wako wa mama katoa hela as if Magu alikua kaishia hapo wakati hadi plan unaijua na yeye mwenye kuimba kuifanya Dodoma kama Ulaya
kwa hiyo fedha za budget ya 2021/2022 tuhesabu ni Marehemu Magufuli katenga? Kuweni na staha basiii...!
 
Humu jukwaani kumeshakua hovyo sana, kuna mpumbavu akisikia JPM katajwa anaingia mwezini, hatuwezi kumtenga JPM na maendeleo yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa hata nukta 1 sababu almost yote yeye ndio chanzo

Hatuoni kinyongo aliepo anavyoyaendeleza sababu hata JPM yapo aliyoyaendeleza kama Nyerere Bridge, Mloganzila, mwendokasi phase 1 na mengine mengi na yalipokamilika hakuacha kutoa pongezi kwa muasisi wa hayo

Tatizo hili jukwaa lishakua la kipimbi na sioni kama nina muda sana!
Hawa wase,nge wanadhani wakimloga Magu ndio watu watasahau kumbe ndio wanaharibu. Halafu chaajabu hata raia waliokua wanamlalamikia Magu kabana pesa kipindi kile now wanamsifu maana samia anachofanya ni kuwalegezea watu wa kipato kikubwa na kubana tabaka la chini kama wanavyofanyiwa wakunya. Mfano halisi mobile txns ambazo watumiaji wengi ni tabaka la chini maana tabaka la juu unafanya txns kwa kuchanja card tu
 
Back
Top Bottom