toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,164
- 2,822
Hawa wase,nge wanadhani wakimloga Magu ndio watu watasahau kumbe ndio wanaharibu. Halafu chaajabu hata raia waliokua wanamlalamikia Magu kabana pesa kipindi kile now wanamsifu maana samia anachofanya ni kuwalegezea watu wa kipato kikubwa na kubana tabaka la chini kama wanavyofanyiwa wakunya. Mfano halisi mobile txns ambazo watumiaji wengi ni tabaka la chini maana tabaka la juu unafanya txns kwa kuchanja card tuHumu jukwaani kumeshakua hovyo sana, kuna mpumbavu akisikia JPM katajwa anaingia mwezini, hatuwezi kumtenga JPM na maendeleo yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa hata nukta 1 sababu almost yote yeye ndio chanzo
Hatuoni kinyongo aliepo anavyoyaendeleza sababu hata JPM yapo aliyoyaendeleza kama Nyerere Bridge, Mloganzila, mwendokasi phase 1 na mengine mengi na yalipokamilika hakuacha kutoa pongezi kwa muasisi wa hayo
Tatizo hili jukwaa lishakua la kipimbi na sioni kama nina muda sana!