Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
very true., alafu mtu anasema GDP yao ni $70B.., I doubt kama iko kwa $60B..,The only decent place in dar, kwingine ni uswazi to infinity😂😂😂View attachment 1946878
very true., alafu mtu anasema GDP yao ni $70B.., I doubt kama iko kwa $60B..,The only decent place in dar, kwingine ni uswazi to infinity😂😂😂View attachment 1946878
geza nowdays hana tofauti na ngurue wa mathare kabakiza akili ya darasani tuunahisi haujamuelewa geza,
Khaa, ati? Hebu mention hizo investments za Tshs 3 trln hapo Dodoma! Labda unamaanisha investments za Chato+Mwanza! Kumbuka majengo ya ofisi ya serikali Mama ndo katoa fedha, Dodoma ring road na airport fedha za AfDB ndo zimetoka! Muache kutufanya sie wajinga! JPM kajenga Ikulu (kasri la Mfalme) kubwaa ya Chamwino (extragavance), Tume ya Uchaguzi, NBS, Migration na ile hospitali isiyo na lift ya Uhuru! Na zile ofisi za wizara zilizo kama shule ya chekechea! Hebu leta hizo zinazofika Tshs 3 trln! Msikuze sana mambo jamani!Magufuli aliwekeza zaidi ya Trillion 3 Dodoma peke yake lakini hilo hawalioni ila wanaona ofisi na hospital Chato, chuki ikiongoza akili hasara kubwa
Bandari, hospital ya rufaa, airport Mtwara, meli 4 Nyasa, barabara kilometres 300 Kigoma, miradi ya maji ya matrilioni nchi nzima, umeme kila kijiji
Ukiamua kuhesabu kila alichofanya Magufuli kila wilaya moja moja hutomaliza leo ila jengo la tanesco Chato linawatoa roho, sitokei Chato wala hiyo kanda lakini Magufuli ni the best kwenye kila idara!
Wanatumia nguvu nyingi sana kufifisha lakini hawatofanikiwa!
Lishamba., westlands.., sio wasteland.., mkipata anything outside ya hiyo CBD yenu uchwara kama westy nahama jf..,Kwanini mnaita kata yenu Wastelands? Si mngeita tu nchi-ya-matakataka au taka-nchi inasikika vizuri! Jalalani pia sio mbaya!
Wastelands 1 : barren or uncultivated land a desert wasteland. 2 : an ugly often devastated or barely inhabitable place or area. 3 : something (such as a way of life) that is spiritually and emotionally arid and unsatisfying.
still early to tell, and I know what goes around in Kenya., mnatamani wakenya wafe, uchumi uporomoke, 2022 kukue na machafuko ya kisiasa.., nyie watu balaa, we will rule and top u forever as long as the earth remains, take it to the bank.Wewe si mtoto wa mzito huwezi jua vile wakenya wenzio wanakufa njaa..
Vipi mzee atashinda coming next year election?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Chato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si ukabila, uchoyo, tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?hujui kitu man'gaa wewe....
mji mkubwa wa geita ni katoro na kutoka geita hadi chato ni masaa 3:30 au na zaidi same time dar moro au msoma mwanza
vilevile kutoka chato hadi bukoba mjini kunaumbali pia
maisha ya chato ni kama mahala pengine popote panapokua tanzania ni nini mbaya geita kumegwa ikabaki na madini na chato kubaki na uwanja mbuga na ziwa ambalo pia sio lao pekeyao
hivi mbona unaumia as if chato hakustaili maendeleo?au sio tanzania?
ukanda utakuua na maa Id yako hayabadilishi chochote ngurue pori wee
We kama umenuna jiandae kupasuka like tuuufffff.......🤣🤣🤣🤣🤣kama wa mama yako sio?
Hapo Chato as Chato village ukipata nyumba 1000 zina umeme nahama humu ndani!
View attachment 1946942
Chato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si uchoyo na tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?
I know you know every move as you are so close to the corridor powers.still early to tell, and I know what goes around in Kenya., mnatamani wakenya wafe, uchumi uporomoke, 2022 kukue na machafuko ya kisiasa.., nyie watu balaa, we will rule and top u forever as long as the earth remains, take it to the bank.
Kwakuwa ww ndio izirahel mtoa roho au?Tutafukia wewe kabla yake
Inawachukua siku 2 kutoka Nairobi mpaka Moyale (border na Ethiopia ) halafu wanakuja hapa kuweka fake figures kuhusu barabara zao. Yani jamaa wanajikamatisha wenyewe.
Kwa sasa hakuna sehemu hapa Tanzania unatumia siku mbili kufika. Hakuna!
![]()
Friendly border town where beer is cheap
You can get an Ethiopian beer brand in Moyale for as low as Sh50.www.the-star.co.ke
Kenya iko sawa., we are woke.I know you know every move as you are so close to the corridor powers.
Your way of doing politics and your political structure which founded on the bases of ethnic groups is the one which depict the situation after elections. No one is wishing you for the worst.
Najua mkishinda nyie mambo yatakuwa Safi, mki loose means it will be total loss.. Not only politically but also.... You know...
Kuwa na adabu kuwadi mkubwa wa Chatogang! Mipandgo ya Mungu haina makosa though! Maana nina uhakika angeleta mpasuko mkubwa wa watu wa Kanda ile nchi ya Sukumagang na mpango wake wa kumega ardhi mikoa mingine!we kama umenuna jiandae kupasuka like tuuufffff.......🤣🤣🤣🤣🤣
sio umeme tuu hata shida ya maji hakunaga lami ndo usiseme hospital ya kanda jee? chuo cha veta jee? tra je 😂😂😂😂 af unajua nini pesa za kumalizia iyo miradi ipo
meza tofali kama unahasira sana
Unajiona na ww mtuuu...kujitia vidole mwenyew
Sawaa.. Una cheza kimessi sio...Kenya iko sawa., we are woke.



Ukubwa wa GDP unaenda sambamba na state subsidy na social welfare ambayo Tanzania leads in comparison to Kenya na ndio maana life is cheap in Tz cause the state bears the burden.Huwa wanajidanganya sana eti sababu wanafake gdp kubwa basi na bei na gharama za maisha zinatakiwa ziwe juuRIP Kenyas education
Unakuta mtu anaongea hivyo kwa kujitapa kabisa eti gharama za maisha kuwa juu ndio reflection ya ukubwa wa uchumi tena anakutolea mfano na Marekani
Elimu yao ndogo sana au ulimbukeni, wanasahau ughali wa maisha ni sababu serikali yao inawakamua kodi kubwa sana na gharama za uzalishaji ni juu zaidi ndio maana majority wanaishi kwenye mabanda ya bati kwa mlo mmoja![]()
Unatukumbushaje umaskini wakati iyo airport tu apo kunya land mnawish mngepataNiko hapa kuwakumbusha umaskini wenudont forget you are a very poor nation.
View attachment 1946899




kawaulize vizur ndugu zenu walio wai fika Tz....ata jeuti ya kutuita maskini unaipata wapi ww fukara unae ishi kwenye nchi inayo tangaza NJAA KAMA JANGA LA NCHI KARNE HII








Na huo ndio uswaziNi ngumu kutenganisha dar na uswaziView attachment 1946901



nani ampeleke uyu uko mirembe ya kunyaland ....anajiharia tu huku