Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

better waganda ร—100. wao hawajioni special saaana kushinda kila mtu.. hawana kiburi. wao nikuchapa kazi tu
Mtanzania ni namna unavyojileta kwake, ukija kama wenyewe walivyo yaani kwa heshima, calmness, down to earth and politely utapata vyote hata ukitaka kumtapeli mtanzania kirahisi act in such characters utaondoka na everything

Lakini ukitaka usikae ukaelewana na mtanzania muoneshee dharau, ujuaji mwingi, arrogance, disrespectful, much know hapo hutomuelewa mtanzania sadly wakenya wengi ndivyo mlivyoumbwa na hizo sifa so lazima watanzania uwaone miyeyusho tu

Wakenya wachache walionenda sawa na watanzania, shuhuda zao hizi hapa!

 
Nilikuwa naangalia EA news EATV wameripoti wenye magari Kenya wanalamika bei ya petrol kuwa kubwa hadi inawalazimu kwenda kununua petrol kwenye nchi jirani.

Huyo mpumbav anayetoa machungu hapo...kama kweli wanamudu gharama ghali za maisha kwenye nchi yao kwanini wasinunue petrol nchini kwao na kuacha kulia lia ovyo!
 
Shujaa Pride!!!!๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž Second best team in the HSBC sevens circuit. Global superstars..... proud of the Boyz. Nyinyi endeleeni Kushabikia Simba vs Yanga!!

hapo hautapata jibu. kimya kimya tu bypass ndio mtindo
 
Huwa wanajidanganya sana eti sababu wanafake gdp kubwa basi na bei na gharama za maisha zinatakiwa ziwe juu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ RIP Kenyas education

Unakuta mtu anaongea hivyo kwa kujitapa kabisa eti gharama za maisha kuwa juu ndio reflection ya ukubwa wa uchumi tena anakutolea mfano na Marekani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Elimu yao ndogo sana au ulimbukeni, wanasahau ughali wa maisha ni sababu serikali yao inawakamua kodi kubwa sana na gharama za uzalishaji ni juu zaidi ndio maana majority wanaishi kwenye mabanda ya bati kwa mlo mmoja ๐Ÿ˜ข
 
Huyu nyumbu ni fala, uhasibu na uchumi wapi na wapi? Hakuna mwaka nakisi ya bajeti ikakosekana na miaka yote huwa inapunguzwa kwa mikopo na misaada ya wahisani kwa hiyo huyo zwazwa wa CPA haelewi anachoongea..

Pili Serikali kupeleka bungeni supplementary ni jambo la uwazi , Mwendazake alikuwa anatumia bila approval ya Bunge kitu ambacho huwezi track fedha..

Mwisho nakisi lazima ingetokea kwa sababu fedha ambayo ilikuwa ipatikane kwenye tozo takribani 1T haitafikiwa kutokana na Rais kuagiza wapunguze viwango vya tozo na kuwaondoa watu wenye miamala kuanzia 1,000 kushuka chini,haya yameathiri matazamia ya bajeti lakini kwa fedha zilizopatikana zitafidia hiyo nakisi.
 
Hawa wakumbaf mkoloni aliondokaga na akili zao.
 
Kilicho nishangaza zaidi ni swala la kuhitaji mkalimani (translator) hapo mpakani??[emoji848]

Tanzania ingawa imepakana na nchi nyingi. Unahitaji Kiswahili tu kuongea na watu kutoka nchi yoyote mipakani.
 
Ukipata data inasema uchumi wa kenya ni mara ya mbili ya Tanzania kwanza mm nafunga acc Cha pili ukijua debt to GDP ratio inamaanisha nn basi bangi umepinguza
 
Lengo wanataka bidhaa za Tanzania pia zitambulishwe zote pale kwa pamoja
 
wanajihisi wao ni bora wanafikiri sisi ni watu wa kucheka cheka hovyo ni makatuni,
hawajui behaviour za wabongo vizuri hawa ukileta uchizi watu wanachizika na wewe pia ukileta unafki watu wanakupiga unafki *10 kisha maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ