The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ni kwamba kila mtu ana style yake ya kupambania nchi yake hatuwezi kufanana, style yako wewe mimi siiwezi na wewe pia style yangu huiwezi, lkn mwisho wa siku message inakuwa sent cz lengo la huu uzi ni kila mtu kuhakikisha taifa lake linapata heshima inayostahili kwa njia yoyote ile.Haya umeshinda baba maana msg niliyotaka kukupa ni kuwa authentic moja ya post za kwanza dhidi ya anti-hegemony ya Kenya humu ndani zilikuwa zangu though simaanishi hii thread!
At that time jamaa walikuwa wakiweka ujinga wa wao ni best kwa kila kitu!
View attachment 1945060
Kila nchi ina madhaifu yake lkn mzalendo wa kweli anaangalia yale mazuri tu kuitangaza nchi yake japo maovu yanapotokea hatuyafumbii macho, mimi nikiifananisha Tz na Eastern Europe shida iko wapi? Kwani ndio kusema Tz itakuwa Eastern Europe? Ni kwamba nafananisha miradi ambayo wenzetu wazungu walishaifanya zamani so na cc tuna try our best kukaribia walipo, wewe unasema eti nisifananishe Tz na Eastern Europe nitajie nchi ya Eastern Europe ambayo cc EA tumeizidi.
Au ulitaka niifananishe Tz na US au China je China au US hawana maeneo mabovu? Wewe baki na style yako lkn usione tuliobaki humu wote ni wapumbavu na kwamba hatuna haki ya kutoa mawazo yetu na kufurahia hatua inayopiga nchi yetu kwa style tunazojua sisi cz Jamii Forums niliijua mwenyewe, nikajiunga mwenyewe na bandle nanunua mwenyewe la kuperuzi humu hanisaidii mtu.