Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Wewe ndiye uliziita za ovyo mkuu! 🤣 🤣 🤣 🤣Hizi picha umuoneshe huyu mzee mwenye shares Jamii Forums Geza Ulole mana yeye anaziita hizo nchi za hovyo.
Wewe ndiye uliziita za ovyo mkuu! 🤣 🤣 🤣 🤣Hizi picha umuoneshe huyu mzee mwenye shares Jamii Forums Geza Ulole mana yeye anaziita hizo nchi za hovyo.
Tifu la Tz na Kenya ulilianzisha wewe na nani? Alafu unawezaje kusema watazuka watu, wewe kama nani? Wewe ndiye ulianza kupambania heshima ya hii nchi? Who are you by the way, wewe nani mpk ujione unastahili kupambania hii nchi, wewe nani katika nchi au wewe ndio mwenye mitandao nchi hii na kwamba ulianzisha wewe battle ya Kenya na Tz? Au unadhani hii battle ilianzia Jamii Forums? Wacha kutafuta umwamba kwenye mitandao ya kijamii, wewe simamia unachokiamini lkn usipende kuwakwaza wenzio kwa kujiona wewe ndio unajua kila kitu, wacha hii tabia ya kipumbavu wewe co Mungu ujue kila kitu, who are you?Haya Mzee wa eastern Europe! sio swala la share ila swala la one's pride on own country! Nilipoanza tifu na hawa jamaa wa Kunyaland siku-envision watazuka watu wa kujiita eastern Europe badala ya Tanzania! Feel proud of what u have!
Wewe nae peleka bange zako Mathare.Wewe ndiye uliziita za ovyo mkuu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Bange muhimu! 😁Wewe nae peleka bange zako Mathare.
Hao wajinga walichoma chanjo ya kazi gani maana wanazidi kuwa na hofu ya kovidi, barakoa kila sehemu hadi maiti zao watazivisha barakoa
Wewe ujui legacy ni kitugani. Vyote wanavyo fanya ni sababu ya legacy ya magufuli inawalazimisha kujititimuaHii iwafikie wazee wa legacy
Magufuli alifsnya hayo bila ya tozo mafiii
Wewe akili zako ndogo sana umeshindwa kuwa na logic ya kuelewa kuwa huu uzi tunashindana na watumwa wa wazungu na watu ambao kwao mzungu ni mungu yaani wakenya hivyo ukisema dar the Newyork of East africa unakuwa umepiga jiwe Nyani ya kenyaHaya Mzee wa eastern Europe! sio swala la share ila swala la one's pride on own country! Nilipoanza tifu na hawa jamaa wa Kunyaland siku-envision watazuka watu wa kujiita eastern Europe badala ya Tanzania! Feel proud of what u have!
Tofauti Na Kenya tunaojivunia kuwa weusi, wabongo kila mara hushobokea wazungu. Ndio maana hata video zenu za muziki mmejaza wazungu Na mkiweka waafrika mnachagua wenye Ngozi nyeupe nyeupe.Wewe akili zako ndogo sana umeshindwa kuwa na logic ya kuelewa kuwa huu uzi tunashindana na watumwa wa wazungu na watu ambao kwao mzungu ni mungu yaani wakenya hivyo ukisema dar the Newyork of East africa unakuwa umepiga jiwe Nyani ya kenya
Sio kuchagua wenye ngozi nyeupe nyeupe, ipo mikoa wenye Ngozi unazoita nyeupe nyeupe ni wengi zaidiTofauti Na Kenya tunaojivunia kuwa weusi, wabongo kila mara hushobokea wazungu. Ndio maana hata video zenu za muziki mmejaza wazungu Na mkiweka waafrika mnachagua wenye Ngozi nyeupe nyeupe.
Hao wajinga walichoma chanjo ya kazi gani maana wanazidi kuwa na hofu ya kovidi, barakoa kila sehemu hadi maiti zao watazivisha barakoa
Kumbe mnajijua mlivyo, na mbn tukianza kuweka wanawake wazuri huwa mnaweka wale weupe weupe wenye asili ya Ethiopia.Tofauti Na Kenya tunaojivunia kuwa weusi, wabongo kila mara hushobokea wazungu. Ndio maana hata video zenu za muziki mmejaza wazungu Na mkiweka waafrika mnachagua wenye Ngozi nyeupe nyeupe.
Ukija home utanchanganyikiwa na madem wetu basi😂😂😂😂😂😂😂Tofauti Na Kenya tunaojivunia kuwa weusi, wabongo kila mara hushobokea wazungu. Ndio maana hata video zenu za muziki mmejaza wazungu Na mkiweka waafrika mnachagua wenye Ngozi nyeupe nyeupe.
Umeona! hapa juzi Kati tulikuwa na the same mada🤣🤣🤣🤣🤣madem wa bongo weuope asilimia kubwa natural weupe.Kumbe mnajijua mlivyo, na mbn tukianza kuweka wanawake wazuri huwa mnaweka wale weupe weupe wenye asili ya Ethiopia.
Kwahiyo sio wakenya wale sababu mababu zao walitokea nchi zingine? Pumbu wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 And yeah, we're proud to be black Africans, melanin popping dadeq, mambo ya kujichubua ka mpendavyo, tuliwaachia maseng... 😂 😂 😂 (kando na weupe natural)Kumbe mnajijua mlivyo, na mbn tukianza kuweka wanawake wazuri huwa mnaweka wale weupe weupe wenye asili ya Ethiopia.
Haya umeshinda baba maana msg niliyotaka kukupa ni kuwa authentic moja ya post za kwanza dhidi ya anti-hegemony ya Kenya humu ndani zilikuwa zangu though simaanishi hii thread!Tifu la Tz na Kenya ulilianzisha wewe na nani? Alafu unawezaje kusema watazuka watu, wewe kama nani? Wewe ndiye ulianza kupambania heshima ya hii nchi? Who are you by the way, wewe nani mpk ujione unastahili kupambania hii nchi, wewe nani katika nchi au wewe ndio mwenye mitandao nchi hii na kwamba ulianzisha wewe battle ya Kenya na Tz? Au unadhani hii battle ilianzia Jamii Forums? Wacha kutafuta umwamba kwenye mitandao ya kijamii, wewe simamia unachokiamini lkn usipende kuwakwaza wenzio kwa kujiona wewe ndio unajua kila kitu, wacha hii tabia ya kipumbavu wewe co Mungu ujue kila kitu, who are you?
Na hamjakatazwa kuwa weupe au rangi yeyote ile... Lakini msijifananishe na wazungu hata siku moja! 🤣 🤣 🤣Umeona! hapa juzi Kati tulikuwa na the same mada🤣🤣🤣🤣🤣madem wa bongo weuope asilimia kubwa natural weupe.
Onyesha aliyofanya,excusese. 😂😂Magufuli alifsnya hayo bila ya tozo mafiii
😆😆😆😌😌 ikufikie mezani Mzee wa legacyWewe ujui legacy ni kitugani. Vyote wanavyo fanya ni sababu ya legacy ya magufuli inawalazimisha kujititimua
Asafiri tuu ilimradi mambo yanaenda na pesa inapatikana,ajifungie jikoni kwani ana betri kwenye moyo?Maza anawafurahisha wazungu sijui kwann yanii hana ata msimamoo tangu aingie kamzidi ata kenyatta kwa kusafirii