Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Muhimu sana kuset regulations and terms kwenye eneo lenye share kubwa kwenye uchumi wa TaifaUmeongea point nzuri sana hapa mzee.
Sio mbaya foreigners kuinvest lakini what kind of investment landscape, Marekani yenyewe auto manufacturers wengi sio wamarekani ni granted franchises but with core upper level production investment kwamba ni foreign companies lakini sharti lazima uzalishaji wa gari from the scratch utafanyikia USA na sio assembling plant
Wa Africa alimradi muwekezaji kaja na fake over estimates zake kwenye ajira, kodi, kupendezesha mandhari and blah blah blah basi huwa tunafunguka kweli na tax holiday for 10+ years tutampa, free land, free permits, harmonized climate, levies and customs heven and other dumb packages
Kibaya zaidi hatuna hata memorandum of understanding followup programs kwa kile tulichokubaliana awali wala accountable clouses kwenye mikataba endapo havitakua realised what way forward,
Siupingi huu mradi lakini mambo ya muhimu ni vizuri kuzingatiwa



