Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha naona leo kuna jitu linafki humu nimelibutua za uso na maIDs yake fake kama utitiri 😅😅😅

Nakucheck tu unavyuojifungulia mawindows yako na maIDs yako ulivyoyapanga kama ngogwe kwa mafungu, kila browser ina lifekero😂😂
 
Hahahaha naona leo kuna jitu linafki humu nimelibutua za uso na maIDs yake fake kama utitiri

Nakucheck tu unavyuojifungulia mawindows yako na maIDs yako ulivyoyapanga kama ngogwe kwa mafungu, kila browser ina lifekero
Dah watu wana moyo aisee, yn mtu anamiliki IDs tano mtu mmoja cjui huo mda anaupata wapi aiseee
 
Dah watu wana moyo aisee, yn mtu anamiliki IDs tano mtu mmoja cjui huo mda anaupata wapi aiseee
😅😅😅😅 Halafu linavyojua kujibadilisha sasa, lina comment hivi likivaa lifekero lingine linatapika sample nyingine tofauti kabisa!

Limwache mzee wa watu apumzike kama anamdai aende mahakamani kufungua case za mirathi! 😅😅
 
IMG_1112.jpg
 
Kuna kitu wakulungwa wa Kaskazini wanafanya, wakati wenzao ( watu ambao walitakiwa wawe level moja muda huu walivunja na kurudisha demokrasia barabarani)

Demokrasia barabarani namaanisha mwenye kuendesha gari la milioni mia tano na anayeendesha baiskelinya elfu 30 na mtembea kwa miguu wote wana haki ya barabara na maeneo mazuri na salama ya kutembea au kuendesha baiskeli.

Seoul Cheonggyecheon river

IMG_1113.jpg
 
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibu mara 2 ya Tzn,na miaka ya 2015 plus uchumi wao umekua kwa wastani wa 5 plus ..

Imagine hadi mwaka huu growth rate yao iko juu ya Tzn,haikuwa hivi miaka 5 iliyopita.

Dhalimu mzilankende ndio aliharibu uchumi,miaka yake imekuwa useless, uchumi ulianguka akabakia kuleta propaganda kwamba mabeberu wanamuonea hadi kufukuza muwakilishi wao Tzn..
Halafu we usiwe Kama panya aliyekula mtumbwi wake wa muhogo
 
Back
Top Bottom