Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
vip huyo anataka kuwa mtunisha misuli ni i,football hataki tena,,,huku vipi? ni mchezaji wa girl maria huyu.. na hio ni gym facility ya girl maria
vip huyo anataka kuwa mtunisha misuli ni i,football hataki tena,,,huku vipi? ni mchezaji wa girl maria huyu.. na hio ni gym facility ya girl maria































































Safi nn tenaSafi
Gor mahia imekua Harambe stars, hata mfanya biashara kuwa stranded amekuwa Harambe stars??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Unadhani team ya taifa ya Kenya haina hela ka yenyu moja ya mpira wa kikapu ilivyokosa hela za accommodation kule Rwanda hadi kutimuliwa kwenye mashindano? 😂 😂 😂
Athletes walikuwa wanasubiri ndege ya KQ ilichelewa, Gor mahia ni private team, walijitakia wenyewe kwa kutojipanga. Na kama haujawahi fika Airport, wacha nikuambie, watu hulala hata chini, kwenye viti nk, usiku mzima wakisubiri ndege za mapema, acha kuwa boya. Tembea utoe ujinga! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣This seems to be a trend for Kenyans teams.View attachment 1943712View attachment 1943713View attachment 1943715View attachment 1943716View attachment 1943717View attachment 1943718
Uuuwi Gatlin nimemwonea huruma, lakini haikuwa siku yake leo, Omanyala still making us proud to be Kenyans! No. 2, damn! 🤣 🤣 🤣 🤣 🇰🇪 🔥omanyala has just ran the 2nd fastest time in the world
and he's just getting started View attachment 1943785
Nyie endeleeni ku host mbio za kuruka kwa uteo, Gambosh style! 🤣 🤣 🤣 🤣huo kasarani si ndiyo huwa wanausifia hapa kila siku na kujjifanya kuwa wana host international sports,,,kwa kutuonyesha vipicha vyenye make up na kukosa na kuficha reality,,
wacha nicheke
Kambale stars pia Mbona ndio shughuli zake hizo kulala chini ya mabenchi ya airport kama panya sababu ya umasikiniGor mahia imekua Harambe stars, hata mfanya biashara kuwa stranded amekuwa Harambe stars??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Unadhani team ya taifa ya Kenya haina hela ka yenyu moja ya mpira wa kikapu ilivyokosa hela za accommodation kule Rwanda hadi kutimuliwa kwenye mashindano? 😂 😂 😂
Hongera Sana kwa kuwa na hela na hiyo Harambee stress🙂Gor mahia imekua Harambe stars, hata mfanya biashara kuwa stranded amekuwa Harambe stars??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Unadhani team ya taifa ya Kenya haina hela ka yenyu moja ya mpira wa kikapu ilivyokosa hela za accommodation kule Rwanda hadi kutimuliwa kwenye mashindano? 😂 😂 😂
Kambale stars pia Mbona ndio shughuli zake hizo kulala chini ya mabenchi ya airport kama panya sababu ya umasikini