Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Exelyaani dar is Slum nzima ina dhalilishwa na Mombasa???? Mungu saidia hawa watu View attachment 549093
Exelyaani dar is Slum nzima ina dhalilishwa na Mombasa???? Mungu saidia hawa watu View attachment 549093
Acha nirudie.
10 sq meters????????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀![]()
Lol......developed area ni 10 sq metres. ...the rest ni watu wa kusindikiza maisha kwa nyumba za kiswahili na slums
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo kariakoo ni soko la nyanya na viazikariakoo inakuumiza sana kichwa 😀😀😀😀😀😀😀
pole sana ndugu hio ndio kariakoo the biggest and busiest market in east and central africa
majibu yako mazuri utayapata google wala usiogope😀😀😀😀😀😀Kwa hivyo kariakoo ni soko la nyanya na viazi
Hayo si maneno yangu ni wewe umekili mwenyewemajibu yako mazuri utayapata google wala usiogope😀😀😀😀😀😀
We are going electrical my friend. To a gari moshi hapa.
Nani kakwambia karaikoo inauza nyanya😀😀Hayo si maneno yangu ni wewe umekili mwenyewe
Icho huu wakati mtahema sana kujaribu kukibizana na NairobiNani kakwambia karaikoo inauza nyanya😀😀
Ndio maana nimekwambia ukitaka kuijua kariakoo vyema choma ndani ya google
Kwann wakenya hua mkiskia kariakoo munakosa raha kabisa😀😀😀😀😀Icho huu wakati mtahema sana kujaribu kukibizana na Nairobi
Sisi hua hatutegemei ugali peke kama nyinyiKwann wakenya hua mkiskia kariakoo munakosa raha kabisa😀😀😀😀😀
Pumzika kaka umekula ugali lakini???
😀😀😀😀😀😀 nyie munategemea chips au sioSisi hua hatutegemei ugali peke kama nyinyi
watakimbilia wapi zaidi ya tanzania wakati wamejaa kariakoo kununua bidhaa kupeleka kwao😀😀😀Comoro mimi naiyona kama sehemu ya TZ. Tumeondoa wahasi alafu sasa tunawafundisha. kiswahili
Shindaneni na hao wanyonge lakini si sisiComoro mimi naiyona kama sehemu ya TZ. Tumeondoa wahasi alafu sasa tunawafundisha. kiswahili
ambao sio wanyonge wameshindwa kupambana na njaa now 7 months😀😀😀😀😀Shindaneni na hao wanyonge lakini si sisi