Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nairobi si mahala salama.kila mtu ajilinde mwenyewe.
f5466e942ea3e89ecf8d9e863ffb2191.jpg
bdace9928e294a80c5a79510e35b4fc8.jpg
c90f75932b9f63c7571f990b419824b1.jpg
5d420023a4217561dc1e36b03525d772.jpg
a95258ee4c1f5e61dd2867338ade5016.jpg
a94537d1a81af8cd98a4e23495a19e1f.jpg
alaf anakufata mtu anakwambia nairobi is diplomatic city
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
alaf anakufata mtu anakwambia nairobi is diplomatic city
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
kenya na miji yake hususani nairobi, maisha ni magumu sana....uhalifu ni mwingi kwasababu vijana wengi hawana ajira.

baadhi yao wameamua kupita njia ya shortcut kwa kufanya robbery.

hayapiti massa mawili bila mtu kuuliwa au kukamatwa kwa visa vya uhalifu.

hatari sana Nairobi....upatapo nafasi ya kwenda mji ule,kuwa makini sana.usiamini mtu.
 
nawe ukitaka kujua kwa nini mimi naitwa 'wale wabaya' we endelea tu. kuja na kamjesh yako yote
Wewe demu nini!? Unasema "yangu yote" mbona lugha za kike!!? Nipatie jinsia yako nijue namna ya kuongea na wewe.
 
kariakoo inakuumiza sana kichwa 😀😀😀😀😀😀😀
pole sana ndugu hio ndio kariakoo the biggest and busiest market in east and central africa
marktet ya kuuza mihogo, parachichi na dera/ khanga wakati Mombasa inapokea magari na watalii kutua na ma luxury cruise ships? unahitaji kupimwa akili.
 
marktet ya kuuza mihogo, parachichi na dera/ khanga wakati Mombasa inapokea magari na watalii kutua na ma luxury cruise ships? unahitaji kupimwa akili.
heheh endelea kujipa moyo hvo hvo😀😀😀😀😀😀😀
dar= nairobi +msa+kisumu+nakuru+eldoret
 
Baaday muda Nairobi itaanza ku compete na Arusha. Achilia mbali Mwanza maana jiji la mwanza lipo kando kando ya ziwa Victoria. Kwahiyo lipo na advantage kubwa ya kuwa na mvuto.

Arusha na Mwanza ni majiji yanakuwa kwa kasi. Huku Arusha ikijinasibu kwa utalii na diplomatic city. Wakati mwanza ikijimasibu kwa biashara za madini na utalii wa ziwani.
Ukija kuangalia katika mazingira mwanza ipo na opportunities nyingi za kukua na kuwa jiji la kisasa zaidi. Wakati huohuo Arusha inaweza kupambana na Nairobi na kutoana jasho in near future.

Bila kusahau Tanga na Mtwara huku tukinogesha kibwagizo cha visiwa vinavyo nukia udi na uvumba vya unguja na pemba. Sehemu hizo in near future vitaifanya kenya ionekane kama kijijini maana hakuna namna.

Hapo sijaongelea Mbeya na beach zake zilizopo katika ziwa nyasa yaani matema beach. Huku mbeya ikipambwa na hali yahewa nzuri yenye ukijani wa kuvutia. Mbeya inasifika kwa kilimo cha mpunga. Wali wake mtamu na wa kivuti.

Bila kusahau kisiwa cha mafia kinaweza kuwafanya vijana wa Kenya waonekane washamba ki mtindo. Maana huko utavutiwa na minazi iliyopandwa kwa staha ya hali ya juu. Huku ikiongezewa mapambo ya beach nzuri na upepo mwanana unaotoka bahari ya hindi. Bila kusahau kuongelea na samaki aina ya dolphin, samaki hawa wanasifika kuwa na akili sana.

Bila kusahau Kigoma, mji ulio kando kando ya ziwa Tanganyika. Kigoma inasifika kwa uvuvi wa samaki aina ya mugebuka na kilimo ya michikichi inayotupatia mafuta ya mawese. Utamaduni wa huko utavutia wengi maana unafanana kabisa na utamaduni wa pwani ya mashariki. Utakutana na usafiri ya majini na meli kongwe kabisa iliyoachwa na mjerumani.

Kenya hakika watu wake bado ni washamba wamejazwa ujinga wa kikiloni.
Haha hii yote ni typing error... Have never seen such a long ass typo lol...
 
Back
Top Bottom