Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Highway haina mifereji! Juakali style!
2931476_1631882530512.jpeg
Kwani hapa ni city centre? and rain water isn't an issue, understand one thing not all sections of a highway lazima iwe na mifereji.,
Tazama hii yenu 👇 ya Iringa, mbona haina mifereji on this section?
2059902_tanzam-highway-1-616-14472388981985734892.jpg

Na hii hapa je? jiangalie kwanza..,
2059926_images_41.jpeg
 
Youtong linakimbiaje kw vumbi bana
Tena main road mazee kabisa nalo linakatiza kw speed ya mwanga
Ulianza na bus ni za wahindi
Ukaja hakuna bus za Dar Moro Dar
Ukaenda bus ni chache kuliko Kunya
Ukarudi bus ni usafiri wa maskini
Ukaleta bus sio luxury
Ukadai bus ni Dar tu
Saivi umerudi na Yutong inapita kwenye vumbi 😅😅😅

Wewe na kichaa mwenzio Teargas ni mafala, hamna pa kutokea!
 
barabara zenu viwango viko chini sana! Mwanzo nilikuwa nafikiri ni udongo wa huko ila Arusha pia wana udongo kama wa Nairobi! Na barabara zao ziko hivi!





20170828_102412.jpg



20170828_102752.jpg









Mwanza iko na barabara ya viwango kama za Arusha kweli?.., a rhetoric question., don't answer, jibu tunajua. 😂 😂 😂
 
Miaka 12 iliyopita technologia ilikwepo sema kiongozi alikua yule boya mwenzako mwenye ubongo uliooza kama wewe. Na ntaibookmark hii post yako kama nature itaendelea kuvumilia miozo kama wewe miaka 12 ijayo ntakukumbusha uone kama hawajaendelea na upuuzi huuhuu wa sensa

 
December 2005 Kikwete alikabidhiwa nchi vocha ya buku ikiitwa dolla: 1USD = TZS 1,000.
December 2015 anapoachia ngazi ilikua 1USD = TZS 2,165.
Ndio maana nasema wewe ni mjinga,sijui hata kama unajua uchumi na kama unajua,hivi inflation ipi ni rafiki kwenye uchumi Kati ya 5% na amvayo ni Below 10% but above 5%..

Ukileta jibu utaelewa kwa nini miaka 5 iliyopita uchumi ulianguka na standard of living kuwa worse..
 
Wewe ndio ubongo wako umeoza kabisa ndio maana mawazo yako yanabaki kwenye confort zone. Ndio maana mtu kama Magu mwenye kufikiria outside the box ukashindwa kumuelewa kwa sababu ubongo wako hauna uwezo wa kudigest ideas zake
Hapo ndio umeandika nini sasa? Ulichojibu kinahusianaje na sensa? Umechanganyikiwa na stress za maisha ya ujane
 
Miaka 12 iliyopita technologia ilikwepo sema kiongozi alikua yule boya mwenzako mwenye ubongo uliooza kama wewe. Na ntaibookmark hii post yako kama nature itaendelea kuvumilia miozo kama wewe miaka 12 ijayo ntakukumbusha uone kama hawajaendelea na upuuzi huuhuu wa sensa
Unaropoka tuu hapa huna jipya wala ushahidi wa kuthibisha upumbavu wako..

Utapata tabu Sana na kijiba cha roho hadi tunafukia kama Kiongozi wa malaika
 



MY TAKE
Wastage of resources Yanga hii inayoenda kutolewa round ya kwanza CAF ndo inaenda kutangaza Utalii? Kweli? Kumbe matangazo ya bure!
Wacha upenzi wa kipuuzi, kwani Yanga kutangaza nchi yake ni kosa? So Simba ndio yenye haki ya kutangaza hii nchi? Kiburi kimewajaa mpk mnasaau kwamba Yanga ni mkubwa kuliko Simba.
 
Back
Top Bottom