Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wafurahia kifo cha magufuli miezi sita baada ya yeye kufa
Screenshot_20210917-203444.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210917-203433.jpg
    Screenshot_20210917-203433.jpg
    8.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20210917-203413.jpg
    Screenshot_20210917-203413.jpg
    28.3 KB · Views: 10
  • Screenshot_20210917-203541.jpg
    Screenshot_20210917-203541.jpg
    7.8 KB · Views: 9
Upumbavu wote huu ulilelewa na yule dhalimu ,hatuwezi kuwa nchi ya hovyo hovyo
kikubwa ni kutazama nakuona je watalisimamia hili daima lisijirudie kwani wamachinga wapo miaka nenda rudi huwa wanaondolewa na baada ya kipindi unaona wamerudi tena,
japo huyo dhalimu unayemzungumzia sijajua ni yupi ila huyo dhalimu bila shaka hakuzaliwa na tanzania kwa kuongoza nchi peke yake miaka yote bila shaka wapo waliomtangulia na hali ilikuwa hivi hivi
 
maaad tings brother..10years the economic acceleration will be on steroids' due to the investment in infrastructure ,over Kshs.1 trillion in this administration alone.
Wakenya ngj niwaambie kitu..

Ni kwamba miaka ya nyuma Tz ndio ilikuwa superpower hapa EA Economically, unaweza kuona kwamba hata sarafu yetu ndiyo ilikuwa juu ukanda huu wa East and Central Africa, baadae siasa za ujamaa na kujitegemea zikatu cost Tz baada ya the late Nyerere kutumia resources za nchi hii kukomboa nchi zingine za Afrika bila kupata faida yoyote.

Lkn baada ya kupita miaka mingi nchi hii ikapata viongozi mabepari mfano wa JPM kwamba akasema lazima Tz ipate stahiki yake kwa kila tone la jasho itakayovuja na ndiyo ukaona mali zote za nchi hii akahakikisha zinamilikiwa na Watz na ndipo ukaona nchi ikaanza kupata inachostahili mpk leo hii unaona tunapaa, yn kwa kifupi haya mnayoyaona kwamba Tz imekuwa superpower of EA ni lazima yangetokea mana hakuna jinsi.

So Tanzania kuwa juu ya Kenya ni lazima na wala sio kujitutumua bali ni theories za uchumi zinalazimisha sisi kuwa juu yenu, tumewazidi kila kitu, kilichobaki ni wazungu kuweka tu namba za GDP basi, lkn hamtuwezi chochote kile kuanzia Economically, Politically mpk Socially.

So Wakenya mjipange mpambane ili kupunguza gape lililokuwepo kati ya Kenya na Tz na co kulazimisha mambo.
 
kikubwa ni kutazama nakuona je watalisimamia hili daima lisijirudie kwani wamachinga wapo miaka nenda rudi huwa wanaondolewa na baada ya kipindi unaona wamerudi tena,
japo huyo dhalimu unayemzungumzia sijajua ni yupi ila huyo dhalimu bila shaka hakuzaliwa na tanzania kwa kuongoza nchi peke yake miaka yote bila shaka wapo waliomtangulia na hali ilikuwa hivi hivi
Wanapangwa vizuri kwa kuondolewa maeneo yasiyo rasmi ,ukisema wanaondolewa is like wanafukuzwa
 
Wanapangwa vizuri kwa kuondolewa maeneo yasiyo rasmi ,ukisema wanaondolewa is like wanafukuzwa
Issue ni kwamba co kuwafukuza mana nao wanafanya biashara, kinachotakiwa ni kuwapangia maeneo mfano tunaweza kupanga maeneo kama Kariakoo mchikichini tukapajenga vzr pakawa kwa ajili ya machinga wa nguo za sagura sagura alafu pale machinga complex pakawa kwa ajili ya machinga wa electronics, alafu Chanika pakawa kwa ajili ya chakula, lkn co kuwaacha waamue wanavyotaka ni upumbavu.
 
Wakuu zikitoka picha mpya za kkoo msishangae mana kwa ss kariakoo zimejengwa residential building mpk raha na bado zinaendelea kujengwa, yn unaweza kutembea umbali mrefu kkoo wkt wa jua kali na jua lisikupate kwasababu ya majengo marefu yaliyojaa pale, subirini picha mpya ya kkoo iwastue hawa mbwa

#@superpower
 
Back
Top Bottom