Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland hamtakaa muwe na usafiri kama wa Tanzania sababu hamna barabara kama hizi

Ninyi endeleeni kujenga barabara on paperwork and numbers lakini kwa ground hamtokaa muwe na roads standard like this

Youtong linakimbiaje kw vumbi bana[emoji1787][emoji1787]
Tena main road mazee kabisa nalo linakatiza kw speed ya mwanga
 
Jiji kama jiji.
Screenshot_20210917-075147_Opera.jpg
 
Tunalisha wenye njaa siku zote! Ila shukrani zao ni mateke mpaka March walikuwa wamezuia chakula kuingia Kunyaland saa hii wamemanua kitu kiingie! njaa mwana malegeza! [emoji28] [emoji28] [emoji2369] [emoji2369] [emoji2297] [emoji2297]

CC: Tony254
Ila wangeruhusu chakula kiingie mapema logistics za kusambaza zingefanyika mapema wasingekuwa na njaa ila njaa wamejitakia wenyewe
 
Haaawapi labda awe ajitaki tumekubali upumbavu huu hadi 2025 tu labda aweze kubadilika ,la sivyo nchi tunaiweka kidogo chini ya jeshi
Sasa sina mda wa kujadiliana na wapumbavu kama wewe,yule kiazi wenu Aliyekuwa anajitaka yuko wapi? 😄😄..

Kwa hiyo wewe unabishana na Rais aliyesema atagombea au? Jitokeze wewe utie Nia uone moto..au unajifariji kwa sababu umekata tamaa? Safi Sana Hangaya kawazima kama taa
 
nyangau hawaelewi, kwa TANZANIA, tofauti ya mwaka kuna mabadiliko makubwa sana
Yaani ushindani uliopo bongo ni mkubwa Sana karibia katika kila sector tofauti na wenzetu hawana standards unajua nilishangaa Sana kuona wananchi wa Kenya Wana chukuliwa poa Sana kwenye mambo mengi na wako comfortable.
 
Back
Top Bottom