Hili swala ni rahisi Sana, bado nchi nyingi hapa duniani hasa "third word" hatujafikia huko, bado mifumo yetu ya kukusanya hizo taarifa hasa vijijini ni michanga Sana, tunajitahidi lakini bado Sana, kwasasa lazima tutegemee "census" katika kujua idadi ya watu. Mbona mnajifanya Kama ninyi sio waafrika kusini mwa jangwa la Sahara?, Kama hata maji, madawa Hospitalini na barabara & umeme bado hatujawafikia wananchi wote vijijini, vipi mnalaumu serikali katika Jambo dogo Kama hili?, Tafadhali toa mfano kwa kutaja nchi Moja tu ambayo ni "third world" ambayo haifanyi "Physical census".