Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

old terminal Kotoka International airport!
KIA-history-5.jpg


375px-KOTOKATERMINAL.jpg



VS


Old Zanzibar International Airport
zanzibar-international-airport-new-terminal-3.jpg



00430487:bc683b2f38fb1ea2ead8e62e913e575a:arc614x376:w735:us1.jpg


zanzibar.jpg
 
Ulianza na bus ni za wahindi
Ukaja hakuna bus za Dar Moro Dar
Ukaenda bus ni chache kuliko Kunya
Ukarudi bus ni usafiri wa maskini
Ukaleta bus sio luxury
Ukadai bus ni Dar tu
Saivi umerudi na Yutong inapita kwenye vumbi

Wewe na kichaa mwenzio Teargas ni mafala, hamna pa kutokea!
hana hoja huyo ni pointless anaishia kuruka ruka tu
 
naona makamba katimba Tanesco naye abataka afanye yake ku kwa kuwatoa watumishi kwenye nafasi zao


 
Magufuli was better than this mama
Beta kwa lipi? unadhani kuwa better ni sura au kujitutumua?

Jitu lilituharibia uchumi wetu wa kilimo afu unasemaje? Sema hivi ulikuwa mnufaika wa utawala wa kidhalimu.

Ndani miezi 6 Ofisini mama kafunika legacy,Leta Takwimu kama hizi 👇

Screenshot_20210917-042321.png


Screenshot_20210917-120243.png


IMG-20210717-WA0000.jpg


Screenshot_20210917-201754.png
 
Ulianza na bus ni za wahindi
Ukaja hakuna bus za Dar Moro Dar
Ukaenda bus ni chache kuliko Kunya
Ukarudi bus ni usafiri wa maskini
Ukaleta bus sio luxury
Ukadai bus ni Dar tu
Saivi umerudi na Yutong inapita kwenye vumbi

Wewe na kichaa mwenzio Teargas ni mafala, hamna pa kutokea!
Hamna hoja hata moja hapo umepita salama..
Kampuni za wahindi kwn uongo..
Hakuna kampuni inayoply dar moro...
Hamna traffic za mabasi katika higway zenu...
Nchi inayotegemea mabasi 100% basi inamaana ina walalahoi wengi...

Bado hujachomoa hata moja mzee acha kujifurahisha
Alafu youtong linakimbiaje kw vumbi mzee
 
Back
Top Bottom