Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅😅

Kwanza pole kwa kusaka slums mwanza kwa zaidi ya masaa mawili na bado ukaikosa 😂😂

Pili pole kwa kukosa slums mwanza mpaka ukajiliwaza kwamba mwanza ni kijijini 😅😅😅

Tatu mombasa imebarikiwa kuwa na slums nyingi na kubwa kiasi Huwezi kutumia masaa yote mawili kama mwanza na bado ukose, mombasa zipo slums za kufa mtu hivyo kaa kimya na ukubali Mwanza hakuna slums

Mji mkubwa wa pili Tanzania hauna history ya slums lakini Kunyaland slums kila baada ya hatua 😅😅

 
Hata vikivunjwa kiundwe chama kimoja utashiriki uchaguzi kwa katiba ipi na tume ipi ya uchaguzi? Kesi ya nyani unampelekea ngedere unategemea nini? Maana katiba inampa raisi mamlaka ya kuwa caretaker president wakati wa uchaguzi hivyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama bado viko chini yake utachukuaje nchi hapo embu tueleze labda una njia mbadala.
 
Unaingia umeinama pia no accessibility for physically challenged persons
 
Yah ndio maana huwa nasema upinzani wa Tz ni wachumia tumbo.
 
Yah!!kw sababu iko na space ndani, 10seater.....
Viti vikubwa vya leather mpka leg room ndani dereva na aburia tu hakuna konda alafu uje ulinganishe na coaster ya kusima simama kila sehemu hku konda akijipigia mayowe[emoji1787][emoji1787]pole sana

Mimi Bado nashangaa jana ulivyokuwa unanisha kuwa hakuna companies zenye Luxury buses zinazosafiri route ya Dar Moro,
Ndio maana nakwambia uhamie huku paradiso.
 
Tanzania yoote kwa wingi na ukubwa ni ushuzi hilo mbona liko wazi sana! haifichiki., us tuna weka mambo wazi wazi, good and bad., nyie mnaficha lakini wapi, mgeni mara ya kwanza anakutana na uchochole ulio tapakaa kote kote, anaona mlivyo fukara.., jiangalie wacha Kiswahili., can't waste my time in Tz., tumewafumania ya kutosha sasa ni domo domo, nothing meaningful to show.., tulia punguza kiherehere 😂 😂 😂
 
Mimi Bado nashangaa jana ulivyokuwa unanisha kuwa hakuna companies zenye Luxury buses zinazosafiri route ya Dar Moro,
Ndio maana nakwambia uhamie huku paradiso.
Hakuna kampuni iliyobase dar moro km unabisha niletee hapa km vile kampuni iliyobase na route ya arusha nairobi..
 
Bwahaha!!narudia tena, unajua maana ya shuttle kwanza before tuje hko nikuumbue zaidi[emoji1787][emoji1787]
 
Unaingia umeinama pia no accessibility for physically challenged persons
Huwezi amini wanalundikwa 25 humu kwenye kipanya safari ya saa 8



Wakati Tanzania 1 by 1 luxury coach Dar Moro kwa 10k tu unaenda umerelax full kipupwe, free soda ndani humo mna toilet, movies, games kama zote, Tanzania tupo mbali

 
Muundo wa Zambia Electoral Commission ni tofauti na wa Tanzania. Yes the president appoints electoral commission president but the president and the commissioners apointments have to be ratified by Parliament and reports to Parliament not anybody else.

Angalia link yao hapo chini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…